rubaman
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 4,983
- 3,084
Hivi kama kila kocha lazima awe na uzoefu ndo apewe timu mnafikiri hawa kina Fergie, Wenger, Mourinho, Capello etc wangepata nafasi kuonyesha uwezo wao katika timu kubwa? Maana mtu akitoka timu ndogo atahesabika hana uwezo wa kufundisha timu kubwa kama AC Milan, Man utd, Juve, Barca, Arsenal etc.