Home of AC Milan, Official Thread

Poleni sana wakuu!mmekamata midfield vema lakini hamna wafungaji.Sie tumeshikwa lakini Forward yetu ina uwezo mkubwa,haihitaji nafasi nyingi kufunga.Msajili forward June!
 
Watakwambia Super Mario na Farao ni majeruhi
 
shifta yuko wapi jamani?

Kama kafungwa huwezi muona huyo, kabla ya mechi uwa anabwabwaja sasa na kubinuka sarakasi uku kajifunga kitaulo tu baada ya mechi anatafuta pori na kuchungulia kwa mbali tu kama guest wakati ana IDs valid.
 
Last edited by a moderator:
Kama kafungwa huwezi muona huyo, kabla ya mechi uwa anabwabwaja sasa na kubinuka sarakasi uku kajifunga kitaulo tu baada ya mechi anatafuta pori na kuchungulia kwa mbali tu kama guest wakati ana IDs valid.

Kwa kwa kwa kwa kwa kwakwakwaaa!
 
Inakuwaje mkuu? Naona juzi JF waliamua kujipiga BAN wao wenyewe nikakuhurumia sana jinsi ulivyo addicted na jukwaa.

Walikua na matengenezo Mkuu, kwa kweli ilikua ngumu kidogo kukubaliana na uhalisia
 
Mkuu Upo? Naona vijana wanakupa Vijembe vya hapa na pale hapo juu...Ila naamini unawajibu Uwanjani kama kawaida yako....
Seedorf vp tumpe muda??

hah hah hao ndugu zangu bana, wacha watambe...
Then kuhusu seedorf jamaa ni kocha mzuri saana. Kwa Milan hii ya kuunga unga then inatawala mchezo + kukipoteza kiungo cha Juve...hilo ni jambo la kumsifu na kumpongeza jamaa
 
Seedorf ni kocha mzuri kwa kweli, toka achukue mikoba ni Conte pekee aliyekusanya points nyingi kwa mechi alizozecheza zaidi yake. Jamaa ni mzuri haswaa, apewe muda tu atengeneze team yake
 
Kama kafungwa huwezi muona huyo, kabla ya mechi uwa anabwabwaja sasa na kubinuka sarakasi uku kajifunga kitaulo tu baada ya mechi anatafuta pori na kuchungulia kwa mbali tu kama guest wakati ana IDs valid.

Mkuu humuoni humu anatoa ratiba ya next game..?
 
Kama kafungwa huwezi muona huyo, kabla ya mechi uwa anabwabwaja sasa na kubinuka sarakasi uku kajifunga kitaulo tu baada ya mechi anatafuta pori na kuchungulia kwa mbali tu kama guest wakati ana IDs valid.

kwaaa kwa kwa kwaaaa...anapiga sarakasi huku kavaa "kibwaya" kwaa kwaa kwaaa!
 
hah hah hao ndugu zangu bana, wacha watambe...
Then kuhusu seedorf jamaa ni kocha mzuri saana. Kwa Milan hii ya kuunga unga then inatawala mchezo + kukipoteza kiungo cha Juve...hilo ni jambo la kumsifu na kumpongeza jamaa

mkipata forward patatulia pale san siro mkuu.
 
Kwani AC Milan nao wanajenga timu kama ndugu zao Nerazzurri?? Manake kama ujenzi Ni wa tofali za Udongo...Eti Vidic (32yrs) ashachokwa kule Man Utd Inter wanamchukua akawasaidie...
Hivi soka la Italy linaelekea wapi?
Mkuu Shifta kama huu ndo Ujenzi wa timu zenu za Milan bora Mtengeneze timu imara za vijana mkachukua wachezaji huko....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…