Mourinho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 4,619
- 2,327
Game nyepesi sana hiyo...Nampa Juve
Ahsante Mpwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Game nyepesi sana hiyo...Nampa Juve
Poleni sana wakuu!mmekamata midfield vema lakini hamna wafungaji.Sie tumeshikwa lakini Forward yetu ina uwezo mkubwa,haihitaji nafasi nyingi kufunga.Msajili forward June!
shifta yuko wapi jamani?
Kama kafungwa huwezi muona huyo, kabla ya mechi uwa anabwabwaja sasa na kubinuka sarakasi uku kajifunga kitaulo tu baada ya mechi anatafuta pori na kuchungulia kwa mbali tu kama guest wakati ana IDs valid.
Kwa kwa kwa kwa kwa kwakwakwaaa!
Inakuwaje mkuu? Naona juzi JF waliamua kujipiga BAN wao wenyewe nikakuhurumia sana jinsi ulivyo addicted na jukwaa.
Next game:
Udinese vs Milan
Mkuu Upo? Naona vijana wanakupa Vijembe vya hapa na pale hapo juu...Ila naamini unawajibu Uwanjani kama kawaida yako....
Seedorf vp tumpe muda??
hah hah hao ndugu zangu bana, wacha watambe...
Then kuhusu seedorf jamaa ni kocha mzuri saana. Kwa Milan hii ya kuunga unga then inatawala mchezo + kukipoteza kiungo cha Juve...hilo ni jambo la kumsifu na kumpongeza jamaa
Next game:
Udinese vs Milan
Kama kafungwa huwezi muona huyo, kabla ya mechi uwa anabwabwaja sasa na kubinuka sarakasi uku kajifunga kitaulo tu baada ya mechi anatafuta pori na kuchungulia kwa mbali tu kama guest wakati ana IDs valid.
ndio mtafanya nini?
Mkuu humuoni humu anatoa ratiba ya next game..?
Kama kafungwa huwezi muona huyo, kabla ya mechi uwa anabwabwaja sasa na kubinuka sarakasi uku kajifunga kitaulo tu baada ya mechi anatafuta pori na kuchungulia kwa mbali tu kama guest wakati ana IDs valid.
hah hah hao ndugu zangu bana, wacha watambe...
Then kuhusu seedorf jamaa ni kocha mzuri saana. Kwa Milan hii ya kuunga unga then inatawala mchezo + kukipoteza kiungo cha Juve...hilo ni jambo la kumsifu na kumpongeza jamaa
mkipata forward patatulia pale san siro mkuu.