shifta
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 474
- 192
Milan wanasumbua sana mahakama..Ngoja Second Half hukumu yao Isomwe..
goli la pili offside dhahiri shahiri...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Milan wanasumbua sana mahakama..Ngoja Second Half hukumu yao Isomwe..
As Roma 2 Milan 0
teh teh teh dah wanasema ishi ujionee.
Nimeyaona mwaka huu
Kwiii kwiii kwiii dah..!! Mchukue David Moyes mkuu atawarejeshea heshima iliyopotea.
haah dah jamaa hujui makocha wa ukweli wewe...
Uncle Seedorf nxt season anapewa fungu na kutia waja watatu au wanne kisha balaa linaanza...
Kila la kheri kaka tunawahitaji sana kwenye gemu za J4 na J5, balaa nnalo mimi leo na wale mabwege wa kijerumani wakiongozwa na backdated young brother Roben sijui kama tutakatiza.
Duniani hakuna kocha kama Carlo Ancelotti...
Duniani hakuna kocha kama Carlo Ancelotti...
Sawa mkuu nimeyaamini maneno ya mdau Mourinho alisema kuwa utakuwa na furaha sana kwa uwezo uliooneshwa na buluda mwenzio Ancelotti.
Tumewashikisha adabu wale wanazi mpaka vizee vyao vimepaniki na kuzaba watu makofi kama maafande vile.
Carlo ni kocha mtaalamu wa Champions League
Kweli Vijogoo vya Milan Vimefulia...Mechi ya Leo ilikuwa moja kati ya mechi kali zinazosubiriwa kwa Hamu...
Kila kona gumzo...
Shifta hebu tupe tathmini ya Mchezo wa leo...Seedorf atafanya maajabu gani??
Milan sign Alex from PSG
Naona AC Milan wapo katika experiment fulani Seedorf kapokewa na Inzarghi next atakuwa Paulo Maldini?
Baada ya Maldini nahisi mikoba atapewa Gang Chomba