shifta
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 474
- 192
Teh teh Shifta alituambia Seedorf ni bonge la kocha sijui kaishia wapi tena...Naona Milan bado wanafanya experiment..
haibadiliki...
Seedorf ni habari nyingine kabisa.
Na ndo maana washabiki wa kweli wa Milan wamesikitishwa na kupigwa chini kwa Clarence.
Tafuta sababu iliopelekea jamaa kutimuliwa.