Nimeangalia game ya jana nimefurahishwa na viwango vya Menez na SES but still defence bado haijakaa vizuri.Timu inaleta matumaini naamini msimu huu Inzaghi akipewa support atairudisha Milan mahali pake
milan inaongoza ligi ya serie A, kwa alama 3 na magoli +2, msimu huu japo hamtapata ubingwa mmeambuli kukalia kiti cha dereva.
teh teh mwaka huu uji mtaita uchi
teh teh mwaka huu uji mtaita uchi
Chomba ushaanza mbwembwe muda huu?? Bado mnasajili wachezaji walioshindwa mpira (Torres) mkitegemea Miujiza...
Nafasi yenu ya 5 msimu huu
aisee kumbe Belo huwa ni mshabiki wa AC MILAN na pia MAN UTD? au macho yangu yanaona vibaya? :A S-eek:
Nduguyo kashautwika saa hizi bila shaka, mixer na cha malawi na ile mi-cigar anayoipenda basi ubongo wote mawingu mawingu.
Chomba ushaanza mbwembwe muda huu?? Bado mnasajili wachezaji walioshindwa mpira (Torres) mkitegemea Miujiza...
Nafasi yenu ya 5 msimu huu
mie nachojuwa kwa sasa tunaongoza ligi...
Hayo mambo ya nafasi ya tano ni yako wewe na mzee wa ufunuo Yohana Mbatizaji
Parma 4-5 milan
Pipo ameshawatengeneza vijana jinsi ya kufunga bado defence ni mbovu sana
Chee che che che che,mvua ya mawe hii.
Leo hii tunawafanya kitu mbaya hapa hapa kwao
Kwa kuwa leo tuko Milan,ngoja tuzungumzie huku au mnasemaje wadau?@mourinho umeonaje first half?mie naona Tevez kabanwa ila tumecheza vizuri,kasoro tu,tumekosa creativity in front.tunawakosa Vidal na Pirlo.
Haswaa Mkuu wangu, tumekosa creativity, vision na imagination ya hao watu, lakini bado kwangu mimi nalilia a number 10, hatuna mtu wa namna hii, na kama hizi tetesi ni za kuziamini tukimpata mtu kama Mata atasaidia sana kufungua milango iliyonuna
Forza Bianconeri