aisee kumbe Belo huwa ni mshabiki wa AC MILAN na pia MAN UTD? au macho yangu yanaona vibaya? :A S-eek:
Nimeangalia game ya jana nimefurahishwa na viwango vya Menez na SES but still defence bado haijakaa vizuri.Timu inaleta matumaini naamini msimu huu Inzaghi akipewa support atairudisha Milan mahali pake