Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Mkuu niko tayar kukutaka radhi endapo nilikuita mshabiki wa Arsenal kimakosa ila nipe mda wa kuona kat ya mm na wewe aliyeanza kujiita.mshabiki wa arsenal ni nani NARUDI update Tafta uzi unaoitwa MTU HUYU EDDO KUMWEMBE page namba 3 umejiita wewe mshabiki wa Arsenal nimepiga screenshot sema kuatach nimeshindwa NATANGULIZA SHUKRANI KWAKO MKIMBIZI
Mkuu huyo jamaa hamna lolote labda nikujulishe tena kuwa alisajiliwa Acmilan kwa pesa nyingi sana kipindi hiko hadi akaweka rekod klabuni kwake na alikuwa namba 10 kichekesho ni kuwa kakaa acmilan miaka mitano kacheza mechi 124 alfu akafunga goli 4
et ndio namba 10 huyo mpaka wakaamua kumrudisha Benfika sasa sipendi unitajie magarasa
Mtu alietoa jasho lake mwanzo mwisho kuchukua UEFA unamuita Gharasa?
Teh teh teh,kama ndio ulichukulia serious siku ile nilivyokujibu kuwa mm ni Arseanl umepotea maboya,embu tafuta nyuzi yoyote ya Arsenal kama kuna mchango wangu. Mimi ni Milan damu na wala sijaanza jana wala juzi tangu nikiwa tumboni mwa Mama yangu.
ha ha ha ha ha sawa mkuu asante kwa kujieleza naamini utakuwa unajuta kuishabikia acmilan na cjajua ni sababu ipi iliyokufanya uishabikie
kwa mfanokila shabiki wa Soka amewahi kuishabikia AC Milan katika nyanja tofauti...
bisha
sasa mkuu kweli miaka 6 goli 4 alafu mnasema jamaa noma mhh kama wachezaji wenu ndio wastaoli hyo napata waswas kuitathmini acmilan na hawa washabiki
ndio maana nakwambia humjui Rui Costa...na wakati alipokuwa anacheza hukuwa na utimamu kichwani
hujui ama?
ndio mana nikakuuliza
ha ha ha ha ha unajua wewe Gang Chomba mjanja sana unakuja ucku humu ili Aleyn asikuone unajibu hoja blah blah af unasepa
eti kila mtu kashabikia Milan kwa wakat flan, hivi na wewe Gang Chomba ushawahi kuishabikia Barcelona!?
uefa champions league most successful club real madrid from spain
cup winners cup most successful club fc barcelona from spain(is done halipo tena kwahiyo barca rekodi yake imekamilika haitafikiwa)
uefa cup or europa league most successful club fc sevilla from spain
gang chomba upo na ac milan wafuata upepo wao kila kitu wanashika nafasi ya pili kimafanikio kuanzia internationals continent cup, uefa champs ligi hadi serie a hamna hata 1 mnalojivunia most successful,hii ndio spain imedhihirisha ubora wake makombe yote matatu sasa yamebaki mawili klabu zake ndizo zenye mafanikio ya kuongoza kubeba mara nyingi.