Home of AC Milan, Official Thread

Home of AC Milan, Official Thread

Mkuu niko tayar kukutaka radhi endapo nilikuita mshabiki wa Arsenal kimakosa ila nipe mda wa kuona kat ya mm na wewe aliyeanza kujiita.mshabiki wa arsenal ni nani NARUDI update Tafta uzi unaoitwa MTU HUYU EDDO KUMWEMBE page namba 3 umejiita wewe mshabiki wa Arsenal nimepiga screenshot sema kuatach nimeshindwa NATANGULIZA SHUKRANI KWAKO MKIMBIZI

Teh teh teh,kama ndio ulichukulia serious siku ile nilivyokujibu kuwa mm ni Arseanl umepotea maboya,embu tafuta nyuzi yoyote ya Arsenal kama kuna mchango wangu. Mimi ni Milan damu na wala sijaanza jana wala juzi tangu nikiwa tumboni mwa Mama yangu.
 
Mkuu huyo jamaa hamna lolote labda nikujulishe tena kuwa alisajiliwa Acmilan kwa pesa nyingi sana kipindi hiko hadi akaweka rekod klabuni kwake na alikuwa namba 10 kichekesho ni kuwa kakaa acmilan miaka mitano kacheza mechi 124 alfu akafunga goli 4
et ndio namba 10 huyo mpaka wakaamua kumrudisha Benfika sasa sipendi unitajie magarasa

Mtu alietoa jasho lake mwanzo mwisho kuchukua UEFA unamuita Gharasa?
 
sasa mkuu kweli miaka 6 goli 4 alafu mnasema jamaa noma mhh kama wachezaji wenu ndio wastaoli hyo napata waswas kuitathmini acmilan na hawa washabiki
 
Teh teh teh,kama ndio ulichukulia serious siku ile nilivyokujibu kuwa mm ni Arseanl umepotea maboya,embu tafuta nyuzi yoyote ya Arsenal kama kuna mchango wangu. Mimi ni Milan damu na wala sijaanza jana wala juzi tangu nikiwa tumboni mwa Mama yangu.

ha ha ha ha ha sawa mkuu asante kwa kujieleza naamini utakuwa unajuta kuishabikia acmilan na cjajua ni sababu ipi iliyokufanya uishabikie
 
kila shabiki wa Soka amewahi kuishabikia AC Milan katika nyanja tofauti...

bisha
 
sasa mkuu kweli miaka 6 goli 4 alafu mnasema jamaa noma mhh kama wachezaji wenu ndio wastaoli hyo napata waswas kuitathmini acmilan na hawa washabiki

ndio maana nakwambia humjui Rui Costa...na wakati alipokuwa anacheza hukuwa na utimamu kichwani
 
kipi cha uongo mimi nimemzungumzia costa wa milan sio wa fiorentina wala benfica THE MAESTRO weka wewe ukweli af niamvie uongo wangu upi
 
kama hujui hilo basi wewe si shabiki wa Soka...

ha ha ha ha ha unajua wewe Gang Chomba mjanja sana unakuja ucku humu ili Aleyn asikuone unajibu hoja blah blah af unasepa
 
Last edited by a moderator:
Gang Chomba mbona hujaniambia kuhusu The Maestro nimekosea wap au ndo umeshindwa kukiri kuwa umeshindwa muite Frank Wanjiru akusaidie
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha ha unajua wewe Gang Chomba mjanja sana unakuja ucku humu ili Aleyn asikuone unajibu hoja blah blah af unasepa

eti kila mtu kashabikia Milan kwa wakat flan, hivi na wewe Gang Chomba ushawahi kuishabikia Barcelona!?
 
Last edited by a moderator:
eti kila mtu kashabikia Milan kwa wakat flan, hivi na wewe Gang Chomba ushawahi kuishabikia Barcelona!?

ndio mana nikawa simwelew sijui kala maharage ya wap huyu hz timu nyingine sio za kujihusisha nazo
 
Last edited by a moderator:
uefa champions league most successful club real madrid from spain
cup winners cup most successful club fc barcelona from spain(is done halipo tena kwahiyo barca rekodi yake imekamilika haitafikiwa)
uefa cup or europa league most successful club fc sevilla from spain
gang chomba upo na ac milan wafuata upepo wao kila kitu wanashika nafasi ya pili kimafanikio kuanzia internationals continent cup, uefa champs ligi hadi serie a hamna hata 1 mnalojivunia most successful,hii ndio spain imedhihirisha ubora wake makombe yote matatu sasa yamebaki mawili klabu zake ndizo zenye mafanikio ya kuongoza kubeba mara nyingi.
 
piga hesabu barca wana makombe mangapi ya kimataifa...kisha Milan ana mangapi ya kimataifa.

wacha bla blaa
 
AC Milan have created a list of transfer targets to entice former Real Madrid coach Carlo Ancelotti back to the Rossoneri.
 
AC Milan president Silvio Berlusconi has declared that Carlo Ancelotti will be the new coach of the Rossoneri.
 
AC Milan striker Giampaolo Pazzini has revealed that he will discuss his future with the Diavolo following their final match of the season against Atalanta on Saturday.
 
Back
Top Bottom