Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Mkuu niko tayar kukutaka radhi endapo nilikuita mshabiki wa Arsenal kimakosa ila nipe mda wa kuona kat ya mm na wewe aliyeanza kujiita.mshabiki wa arsenal ni nani NARUDI update Tafta uzi unaoitwa MTU HUYU EDDO KUMWEMBE page namba 3 umejiita wewe mshabiki wa Arsenal nimepiga screenshot sema kuatach nimeshindwa NATANGULIZA SHUKRANI KWAKO MKIMBIZI
Teh teh teh,kama ndio ulichukulia serious siku ile nilivyokujibu kuwa mm ni Arseanl umepotea maboya,embu tafuta nyuzi yoyote ya Arsenal kama kuna mchango wangu. Mimi ni Milan damu na wala sijaanza jana wala juzi tangu nikiwa tumboni mwa Mama yangu.