Home of AC Milan, Official Thread

Home of AC Milan, Official Thread

Attachments

  • 1432537448163.jpg
    1432537448163.jpg
    34.8 KB · Views: 32
  • 1432537484321.jpg
    1432537484321.jpg
    44.7 KB · Views: 33
  • 1432537514695.jpg
    1432537514695.jpg
    78 KB · Views: 34
Last edited by a moderator:
AFC Ajax wakiwa katika Ubora wao uliotukuka kipindi hiko, hii ilikuwa ni 1995 akibeba UEFA Championz League.
Je, mnakumbuka mwaka huo siku kama ya jana alibeba hili kombe mbele ya timu gani?
Cc Mourinho chebi b5-click Ntuzu PNC 1 FATHER OF REALITY gutierez

ha ha ha ha ha walikula moja bila kutoka kwa supersub PATRICK KLUVET tena dakika za mwisho nafikili ilikuwa dakika ya 85 daaah.ac milan majanga
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha ha walikula moja bila kutoka kwa supersub PATRICK KLUVET tena dakika za mwisho nafikili ilikuwa dakika ya 85 daaah.ac milan majanga


kuna kanga zimeandikwa "WAJA KUSEMA NI KWAO JAPO JAMBO SI LAO" ntakununulia uwe unajitanda ukienda maliwatoni
 
Mkuu Gang,leo nimepitia Kitumbini nimenunua doti mbili moja ya huyu jamaa na nyingine ya mpambe wake Alyen.

mbona mnatulazmisha kama nyie mnazo inatosha ila kwa kuwa mmeshanunua hzo mbili sio mbaya moja kamvalishe Wenga nyingine mpe mwenzio akamvalishe Pipo Inzaghi
 
mbona mnatulazmisha kama nyie mnazo inatosha ila kwa kuwa mmeshanunua hzo mbili sio mbaya moja kamvalishe Wenga nyingine mpe mwenzio akamvalishe Pipo Inzaghi

Tunawalazimisha kuvaa khanga ili mrudi kwenye fani yenu mliyoizoea ya mipasho na upashkuna maana mpira sio fani yenu nyie.
 
kwa bahati mbaya mkuu cjabahatika kumaliza la saba katka shule ya kata sasa ukiniandikia ngeli unanionea

Hilo sio jukumu langu,wakati wenzako wanaenda shule na kuzingatia masomo wewe ulikuwa unapiga umbea.
 
Wazoee hao, wanaona wivu kipindi ambacho wenzao tunabeba makombe wao hata UEFA hawashiriki.

makombe?
hivi katika makombe ya kimataifa Barca na Milan ni timu ipi inayo makombe mengi?
 
kwani tumefungiwa kusajiri?

kama kusajili mkuu mtabidi muanze na kipa mpaka 11 maana anayefaa kidooogo ni yule mwenye bwenzi kubwa aliyewaokoa juzi na torino wengine wote tupa kule
 
Back
Top Bottom