Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
- #1,961
ARSENAL and Liverpool's hopes of signing Jackson Martinez have taken a major blow after AC Milan agreed to pay his release clause.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na bado mtabadillisha makocha mwishowe mtakuja kumsajili julioSilvio Berlusconi:
Ill start investing again, 150m? Well spend whatever is necessary, Milan a part of my heart
na bado mtabadillisha makocha mwishowe mtakuja kumsajili julio
Sasa hivi utakuja kuambiwa Milan ndo klabu bora kwa makombe.
na bado mtabadillisha makocha mwishowe mtakuja kumsajili julio
na bado mtabadillisha makocha mwishowe mtakuja kumsajili julio
kabla ya luis enrique alikuwepo tata martino huyu alitupa super cup na kabla ya huyo alikuwepo tito vilanova R.I.P naye alichukua.ubingwa kwa point 100 nyuma ya hapo alikuwepo guardiola msimu mmoja mataji 6 kabla ya yeye akawa frank rijakaard nafkil utamwelewa vema 7bu kikos chake kilikuwa na nabii wako wa mwisho katika ubora waketoa kwanza Boriti...
kabla ya Louis Enrique alikuwapo nani pale Barca?
na kabla ya huyo alikuwepo nani pale?
ndo maana nakwambia wewe Barca huijui au ulianza kuishabikia baada ya Kuifunga Manchester UTD ktk Fainali za Klabu bingwa barani Ulaya...
hio timu ilishawahi kufundishwa na huyu msema hovyo wa Chelsea...wakati huo alikuwa ni kocha msaidizi...
sasa anza kuhesabu kutoka hapo mpaka sasa then niambie mmetimua makocha wangapi?
tunaanza na Jackson Martinez...
wap martinez wakat wakina pogba wanalazmisha kucheza barca
Ahahahaahahahhahahahahahahahahahhaha!!!!!!