Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
- #3,461
Marco Giampaolo’s #ACMilan are starting to take shape with Suso in the trequartista role behind Krzysztof Piatek and Andre Silva
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila kitu kitakuwa sawa na kitarudi katika hali yake ya kawaida...Hebu ifufueni hii timu jamani
Tungependa tuione ikirudi kwenye enzi zake ambapo hakukuwa na timu ya kuizuia AC Milan sivyo Barca, Madrid wala Juve
Hebu ifufueni hii timu jamani
Tungependa tuione ikirudi kwenye enzi zake ambapo hakukuwa na timu ya kuizuia AC Milan sivyo Barca, Madrid wala Juve
Kwakweli ukiachana na Liverpool, team yangu kutoka nje ya uingereza ni Ac Milan tangu na tangu.
Hongera kwa muanzisha thread umesaidia kukumbusha watoto wadogo kuwa hakuna club ya kiume nje ya Uingereza kama Ac Milan.