Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
- #401
yaani natamani kweli refa angekuwa Corina au Mr Nilsen au Mr Andrea Frings...
Dah...
Kweli soka limeishiwa mpaka marefa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaani natamani kweli refa angekuwa Corina au Mr Nilsen au Mr Andrea Frings...
mfa maji haachi kutapatapa
sikio la kufa halisikii dawa
visingizio janga la kitaifa
Companero unanisikitisha.
Je Ngeleja alifanya vitu vyake usiku wa jana maeneo yako au?
na goli la iniesta ni la kubebwa?
the best team won, stop whining!
washkaji wamebebwa kiukweli na wala si kitu cha kufurahia.
Soka linaisha ladha kwa upuuzi wa baadhi ya marefa
Final result ilipaswa kuwa Barca 1 Milan 1,
Forza Milan
Final result ilipaswa kuwa Barca 1 Milan 1,
Forza Milan
KAKA, naamini kabisa Barca wana uwezo wa kuwafunga Milan,angalia Arsenal waliwafunga Milan magoli 3 ambayo hakuna hata goli moja lenye utata.Inakuwaje wanakuja kushinda kwa magoli yote 3 ambayo yana utata,kwenye mashindani haya ya mtoano tukio moja lina impact kubwa sana kwenye saikolojia ya wachezajiteh teh teh,inabidi wanazi wa man utd,chelsea,arsenal,ac milan muungane wote muwatumie simba kushinda ushindi wa mezani,kama 1-1,basi na sisi tunahesabu 0-1 kule san siro barca oyee!
Milan walifanikiwa kuwazuia Messi,Iniesta,Sanchez,Xavi lakini walishindwa kumzuia REFA