Home of AC Milan, Official Thread

Home of AC Milan, Official Thread

at this rate there might come a day when even
talking to a barca player in the penalty box will see
them awarded a penalty...Gang Chomba
 
mfa maji haachi kutapatapa

sikio la kufa halisikii dawa

visingizio janga la kitaifa
 
washkaji wamebebwa kiukweli na wala si kitu cha kufurahia.
Soka linaisha ladha kwa upuuzi wa baadhi ya marefa
 
watu wamesahau 1st mechi kule san siro refa aliwanyima penati ya wazi barca pale alexis sanchez alipokwatuliwa,mechi ilikuwa tayari imeshaisha kulekule kwao,jana ac milan walitegemea tena refa ataacha upuuzi kama waliofanya 1st leg,ndio yaleyale hata wenger alilalamika msimu uliopita akaambiwa unalalamika nini wewe timu yako inasifika kwa pasi england lakini pale nou camp hata pasi 3 hawakuweza kucheza,barcelona wanajua wapende wachukie leave them,aliwazalo mjinga ndilo linalomtokea!
 
na goli la iniesta ni la kubebwa?

the best team won, stop whining!

Gutierez nenda kaangalie goli la Iniesta move imeanzia wapi?
Baada ya Ibra kudondoshwa na Shakira ndani ya eneo la hatari ndipo refa akakauka na kisha wakaanzisha move faster na kwenda pata lile Goli.
 
washkaji wamebebwa kiukweli na wala si kitu cha kufurahia.
Soka linaisha ladha kwa upuuzi wa baadhi ya marefa

hii gemu imeuzwa ndio maana walipo sawazisha wakapewa penati nyengine na pale wakati wanabishana refa alikuwa ajaruhusu mpira kupigwa ila akaruhusu ili wapate penati..

na shangaa kwenye highlight walikuwa hawaoneshi zile penati wanaonesha goli la nocerrino sijui hawakuzipenda ingekuwa bongo watu wanaondoa timu kama vipi na iwe vipi tu..
 
Final result ilipaswa kuwa Barca 1 Milan 1,

Forza Milan
 
timu iliyoshinda ni moja nayo sio milan, visingizio vya kitanzania tusivihamishie ulaya
 
teh teh teh,inabidi wanazi wa man utd,chelsea,arsenal,ac milan muungane wote muwatumie simba kushinda ushindi wa mezani,kama 1-1,basi na sisi tunahesabu 0-1 kule san siro barca oyee!
 
Milan walifanikiwa kuwazuia Messi,Iniesta,Sanchez,Xavi lakini walishindwa kumzuia REFA
 
teh teh teh,inabidi wanazi wa man utd,chelsea,arsenal,ac milan muungane wote muwatumie simba kushinda ushindi wa mezani,kama 1-1,basi na sisi tunahesabu 0-1 kule san siro barca oyee!
KAKA, naamini kabisa Barca wana uwezo wa kuwafunga Milan,angalia Arsenal waliwafunga Milan magoli 3 ambayo hakuna hata goli moja lenye utata.Inakuwaje wanakuja kushinda kwa magoli yote 3 ambayo yana utata,kwenye mashindani haya ya mtoano tukio moja lina impact kubwa sana kwenye saikolojia ya wachezaji
 
ac milan jizatitini ktk ligi sasa,juve atawapiku kubeba mara :biggrin:30 kombe mkikalia siasa na mechi iliyopita,mtatoka trophyless
 
Back
Top Bottom