Mourinho
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 4,619
- 2,327
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ada ya mja kunena...
Milan 2-0 Celtic
ricardo Kaka amesema yuko tayari kuangusha pasi za Balaa pale Milan...
Na amesema tayari amerudi kwenye kiwango chake kilee alichokuwa nacho awali
Ewe Ronaldinhoist, Ricardo Izecson de Santos Leite alikuwa wapi leo au alishaichezea Real kwenye UCL?
Hongera MILAN kwa kuwapa raha mashabiki wako.
Swadaktaaar...
japo ndugu zangu juzi wameshikwa kende ugenini na wakaambulia patulo...
hili kombe lina njia zake ndugu zanguni, na Njia zake anazijuwa Uncle Fester Adriano Galiani

njia zenyewe ndo zile mpaka kokoliiko alie ndio mnazinduka na kupiga mbili jioni,ngoja siku jogoo atafune big g akidhani ni punje ya mhindi ashindwe kuwika,mtasema jogoo kahongwa na Moggi!
Ahsante kaka, halafu Gang Chomba ana match na nani vile kesho? Though nisiposhabikia Bianconeri I always go for Milano na sitabadili muelekeo wangu hapo kesho ila akiangukia pua sitamstahi, hata kidogoo!