Home of AC Milan, Official Thread

Home of AC Milan, Official Thread

ndugu yangu simu yenye account ya gang chomba imejamba.
So mpaka itapopona ndo ntarudi na jina lile.
Lakini kwa sasa nipo humu.

aaahaah! Kumbe shifta ndo kaka mkuuee! Poa hii id ilitamba sana hapa baada ya kaka mkuu kulimwa ban alipotibuana na Matola kule jukwaa la siasa...hii haina ladha mkuu.

Cc: Gang Chomba
 
Last edited by a moderator:

Ivi kuna anayemfikia kaka mkuu humu kwa BAN? Jamaa anaropoka mno vikimjia ni haki yake kupigika mara kwa mara na alishaniahidi aendi tena jukwaa la siasa sijui nini kilimpeleka huko.
 
Hahahahahahahaaaa, wewe ni mchokozi sasa, kwani kakwambia kala ban?
 
Samprodia 0 AC Milan 2
Magoli kutoka kwa vijana wawili wa kiarabu Adil Rami na Adel Taarabt
 
Belo mlichezaje lakini? Maana nimemuuliza mwenzako hajanijibu
 
Last edited by a moderator:
Timu bado inachechemea but cha msingi tulipata nafasi chache na tukazitumia

Mara ya pili mfululizo mnashinda sasa, niliona mlivyocheza na ATL na mlicheza vizuri hata kama mlifungwa, kuna kitu Seedorf anakitengeneza, akipewa nafasi mtarudi vizuri tu
 
Atletico bahati ilikuwa yao,Hii raundi ya 16 nadhani imepangwa timu zilizoanzia nyumbani lazima zifungwe hicho ndio kilichotuponza.Yule GK wao aliwaokoa sana
 
Sanaa na nadhani mngefanya na Taarabt mumchukue mazima
 
Hahahahahahahaaa, naona jana mmepata bwana

Mdau mi ni Madrid jana tumempa mtu 3-0 wakati timu ya NEEMA na NESI wamepakatwa kama za mnyama taifa ndio maana weekend imeisha vyema kwangu, nipo kileleni kila upande bila buguza na sibanduki tena hapo.
 
Nimekupata Mkuu na niwie radhi, kwa hiyo leo roho kwatu, na England je?
 
England sina timu maana wakongwe wote wanavaa kama ile timu ya msimbazi hilo lilinikwaza sana kuzipenda ila mimi ni mfuasi mzuri wa wajina wako kwa hiyo nipo naye darajani kwa muda.
 
Ivi kuna anayemfikia kaka mkuu humu kwa BAN? Jamaa anaropoka mno vikimjia ni haki yake kupigika mara kwa mara na alishaniahidi aendi tena jukwaa la siasa sijui nini kilimpeleka huko.

hah hah hah haya mkuu...
Ila soob ntarudi na ID langu lile lililozoea kupigwa ban
 
Back
Top Bottom