Home Theater, Sound Bar na HI-Fi Music kilicho Bora kwa Wapenda music Majumbani

Ndo maanisha ivyo soundbar kwa tv na movie kwa ujumla
Watanzania wachache sana wanamudu kununua HiFi tena zile za Sony, Samsung, Lg, Panasonic, Hisense. Huko Duniani hifi sytem moja ni Bajeti ya FORD RANGER tena 0Km, Sasa nani yupo tayari kuweka ford ranger sebuleni?

Mnyama kama huyo chini unamweka category moja na soundbar kweli????? Ni 161million TZS imelala hapo.

 
Mnyama mwingine huyo 325.6million TZS,
 
Sasa iyo unaweka kweny harusi labda 🤣🤣🤣kibongo bongo nyingi midoshi bora ya kistaarabu soundbar basi angalia na bei za soundbar za watts 3000 kuendelea
 
Sasa iyo unaweka kweny harusi labda 🤣🤣🤣kibongo bongo nyingi midoshi bora ya kistaarabu soundbar basi angalia na bei za soundbar za watts 3000 kuendelea
mfalme wa home music system ataendelea kuwa HiFi tu, HT, Sub woofers na SB ni wapita njia tu. HiFi yupo saaanaa anabadilika leo unampata mpaka kwenye portable boom box hadi kwenye bookshelves speakers, kitu ambacho huwezi kupata kwa HT na SB
 
Aisee uko vizuri. Kweli nahitaji mziki mkali mziki mwororo sound nzuri. Kifupi ninapenda Sana mziki Ila siyo mjuzi wa kununua haya ya kisasa.
 
Mimi sio mjuaji sana ila Mimi natumia Hifi ya Kenwood baada ya Pioneer kuchoma fan yake fundi niliompa atengeneze akaiaribu kabisa system nzima ya Amplifieryake...subwoofer ni nzuri ndio ...ila..ila hazina ile pure music taste japo wengi we don't care tunapenda zile boom boom za bass basi ila kingine hazidumu...zinaharibika sana. Home theater hii ni ya movie...soundbar haka ni kauongo tu kakufanya kampuni ziuzee maana sioni cha tofauti kwani wamecombine tu speaker za hi, na low kwenye compartment moja na kutenga bass so depending na specs zake inaweza act as mbadala wa home theater (virtual) au mbadala wa Hi-Fi...
 
Kuna Aiwa fulani hv za kizamani za piece nafikiri 5 zina mdundo balaaa,halafu ukizicheki zimekaa kiboya tu,ila hyo sound sasaaa
 
Uko kitaaluma zaid mkuu. nimekukubali bila kulinganisha ujuzi.
 
Kwa least yako hapo sijaona cha maana ila kwa budget yako kama unapenda mziki na muvi pia ila surround sound kwako si muhimu sana. basi chukua Hi-Fi

ila ni bora budget kama inaruhusu ukachukua 7.1 AV receiver hapa unapata vingi kwa pamoja.
Ukitaka surround kwa ajili ya movie au hi-fi kwa ajili ya mziki ni swala la kuswitch kwa remote tu maana inakuwa na speaker mbili kubwa FR & FL na ndogo ndogo za center, surround na atmos.

swala la mifumo ya sauti nyumbani ukiamua kulizingatia basi ni gharama mno. Unakuwa unaongelea mamilioni.
 
Mkuu naomba ushauri wako,mziki upi unafaa hapa chini,hiyo hometheater ni SONY,bei LG kamzidi SONY laki moja ila zite zina 400w
 
Mkuu kuna post namba 51 naomba ushauri wako
 
Elimu nzuri,barikiwa
 
hizi sound ba kila kimoja kinachajiwa kivyake au inakuweje
 
HIFI

Kupata hio audio lazima spika zako ziwe vyema Sana..sio vile vi spika vya inch 3 vilivoko kwa home theatre ambazo zimewekwa high pass filter


Hapo huwa Kuna woofer hi ni Kama mid-range na tweeter kwa ajili ya high pass

Spika ya kucheza low frequency kabisa zile hapo sio lazima

Ikumbukwe studio hakuna subwoofer Ni full range speakers mbili kila Moja woofer moja na twita moja juu yake unaeza iita book shelf speaker
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…