Sambinyakwe kitololo
JF-Expert Member
- Nov 15, 2022
- 2,419
- 2,940
Home theatre na mziki wapi na wapi, hizo wa waangalia movie zenye Dolby digital sound kuhusu kuchakata mziki Bado sana😂😂 Hadi sindano.. chukua home theater
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Home theatre na mziki wapi na wapi, hizo wa waangalia movie zenye Dolby digital sound kuhusu kuchakata mziki Bado sana😂😂 Hadi sindano.. chukua home theater
Watta kuanzia 3000+
Binadamu tunaishi kwa mazoeaHome theater kuna kila option kama unataka movie, music utaset tu na utapata ubora ule ule wa viwango mimi natumia sony home theater 1000w mziki unapiga balaaa weka mbali na watoto aisee asikwambie mtu
NopSystem hizi hazitengenezwi kwa ajili ya kutoa power output kubwa inayohitajika kwa ajili ya muziki kwa kuwa muziki kwenye movie unakuwa wa chini chini(underground) ili kuruhusu mazungumzo kusikika vizuri pamoja na kuhandle effect sounds
Ki sound bar hata kaweje Bado huwezi sema HT Ni za kizamani! Labda sababu umeona hatubadiliki HT tulizonazo Ni Sony na lg ila siku ukikutana na Klipsch utakuja nambiaZa kizamani hata iweje huwezi fananisha na soundbar uliza ilio ni teknolojia ya miaka 20 nyuma angalia hata bei chukua ht watts1000 ya sony angalia na sound at watt iyo Kwa bei utaelewa.
Nilikuwa na HT moja nilinunua laki 8 kitu kama icho miaka ya 2019 spika kibao halilet mvuto getto nikienda kwa wana Wana soundbar zile za 1000watts yaani kwanza pale kweny tv showcase hapana uchafu kuna lile spika lake kichwa na bar iko mounted kweny ukuta chini ya tv
Spika za pembeni ni wireless zimepiga kweny Engle ndogo wakiweka movie hatar na tv kitu cha lg OLED we acha watu wanaishi
mimi bado natembea na hizi codes,karibuniKi sound bar hata kaweje Bado huwezi sema HT Ni za kizamani! Labda sababu umeona hatubadiliki HT tulizonazo Ni Sony na lg ila siku ukikutana na Klipsch utakuja nambia
Naona uko na turntable hapo...mimi bado natembea na hizi codes,karibuni
Wabongo ni watu wa kwenda na mkumbo.Ki sound bar hata kaweje Bado huwezi sema HT Ni za kizamani! Labda sababu umeona hatubadiliki HT tulizonazo Ni Sony na lg ila siku ukikutana na Klipsch utakuja nambia
😁😁 Mtu anakwambia ana laki saba anataka mziki wa maana anaulizia Ni home theatre gani anunue😁 dunia hii Ina vituko sanaWabongo ni watu wa kwenda na mkumbo.
Zilikuja subwoofer za kichina, wabongo wakavamia wote huko
Zikaja Home theater in a box (HTiB) wabongo wakazimavia, ikawa kama fashion
Sasa zimekuja soundbars, wabongo kama kawaida wamevamia kwa mkumbo.
Watu hawajui ni kwa nini wananunua kitu fulani.
Leo hii wengi wa wanunuaji wa soundbars, hawajui hata hizo soundbars zimetengenezwa kwa ajili ya kudeliver kitu gani (kama ambavyo wanunuzi wa HTiB hawakujua wananunua kitu gani)
Home theather zina mini hifi[emoji16][emoji16] Mtu anakwambia ana laki saba anataka mziki wa maana anaulizia Ni home theatre gani anunue[emoji16] dunia hii Ina vituko sana
na anaenda kununua clone ya sony na lgWabongo ni watu wa kwenda na mkumbo.
Zilikuja subwoofer za kichina, wabongo wakavamia wote huko
Zikaja Home theater in a box (HTiB) wabongo wakazimavia, ikawa kama fashion
Sasa zimekuja soundbars, wabongo kama kawaida wamevamia kwa mkumbo.
Watu hawajui ni kwa nini wananunua kitu fulani.
Leo hii wengi wa wanunuaji wa soundbars, hawajui hata hizo soundbars zimetengenezwa kwa ajili ya kudeliver kitu gani (kama ambavyo wanunuzi wa HTiB hawakujua wananunua kitu gani)
Hiyo "mini hifi" unayozungumzia ya home thearte Haiwezi kufua dafu kwa a proper HiFi System.Home theather zina mini hifi
Kwa hiyo home theather ni bora kuliko sound bar. Labda km nyinyi mnanua home theather za lg
Safi... For Dobly Movies, Sina shaka kabisa na hapo.HTiB yangu ya kwanza kununua 2007, mpaka leo ipo na inapiga vizuri.
![]()
Tatizo ni kwamba Bongo watu wanajua Sony, LG na Samsung.... na wachache wanajua JBL.na anaenda kununua clone ya sony na lg
Tatizo unajifanya mjuaji na mwenye pesa kumbe wa kuja tu, wajuaji wote wamefunga vinu kwenye magari yao ila nyumbani wameweka redio unazo ziponda ww apo.Wabongo ni watu wa kwenda na mkumbo.
Zilikuja subwoofer za kichina, wabongo wakavamia wote huko
Zikaja Home theater in a box (HTiB) wabongo wakazimavia, ikawa kama fashion
Sasa zimekuja soundbars, wabongo kama kawaida wamevamia kwa mkumbo.
Watu hawajui ni kwa nini wananunua kitu fulani.
Leo hii wengi wa wanunuaji wa soundbars, hawajui hata hizo soundbars zimetengenezwa kwa ajili ya kudeliver kitu gani (kama ambavyo wanunuzi wa HTiB hawakujua wananunua kitu gani)
Tanzania tunaenda na fashion tu, Sound bars, HTiB ni kwa ajili ya movie tu, lakini kwenye pure music tunalazimisha maji kupanda mto, hata ingekuwa ni channel 20. Mziki mzuri hauitaji channel nyingi kama movies. JBL Multimedia speakers 2.0 channel Inakupa mziki mzuri kuliko JBL sound bars za 9.1 channel vice versa pia kwa movie na music.Tatizo unajifanya mjuaji na mwenye pesa kumbe wa kuja tu, wajuaji wote wamefunga vinu kwenye magari yao ila nyumbani wameweka redio unazo ziponda ww apo.
Soundbar zipo nzuri nyingi, mfno, JBL 9.1 channel, SONY HT-A7000, SONY HT-A9.
Acha watu wanunue vitu wanavyo vipenda kwa uwezo wao sio kwamba wanafata mkumbo.
Check hapa pia