Home Theater, Sound Bar na HI-Fi Music kilicho Bora kwa Wapenda music Majumbani

Nyie ndio ninaowazungumzia... Wafuata mkumbo...
Unanunua soundbars/homethearter na unatarajia kupata Mziki wa maana.

Sony HT-A9, JBL 5.1 na 9.1, Samsung Q950A na Q990B (na nyingine nyiiiiingi) zimetengenezwa MAHUSUSI kwa ajili Movies sio kwa ajili ya Music.

Japo zinaweza kupiga "mziki mzuri" but they are not the best at that... hazitakupa Ule Mziki Halisi(hapa unaweza kubisha pia)

Zipo system kwa ajili ya mziki halisi, sio hizo soundbars au homethearter.

Mziki wa ukweli unapatikana katika 2 channel system a.k.a Stereo System a.k.a Hifi System, PERIOD.
 
Mkuu naomba model ya hii kenwood yako na mahali zinakopatikana boss nijaribu music wa Hi-Fi
 
Chief tusaidie Hi-Fi tofauti tofauti zinarange kwenye 900k mpk 1.5M tujaribu kitu kipya
 
Mbona Magari na simu watu wananunua aina moja hamsemi wanafata mkumbo na fashion, usifikirie hata hizo HI -FI watu hawanunui watanunua sana tu zikiwepo madukani.

Harafu wenye hela huwa hawasemi watu wanafata mkumbo, hii ni misemo ya watoto wa chuo wanao tumia boom.
 
S
Home Theater, Sound Bar na HI-Fi Music kilicho Bora kwa Wapenda music Majumbani. kwa wale ambao tunapenda music..... je kati ya hivi vitu ni kipi ni bora ? tuweze saidiana kama mtu anataka kununua music system ninunue kipi katika ya hivyo.
Sijajua sub-woofer inaangukia katika category gani ila nazo ni nzuri kwa ambae anahitaji kusikiliza muziki kwa matumizi ya kawaida yasiyo ya kitaalamu

Uzoefu kidogo nilionao ni kwenye home theater ni nzuri sababu ina mdundo mzuri na sauti clear, nunua hasa Sony ipo vizuri na inadumu
 
Bo
bajeti ya kimaskini tu Mkuu sh 700,000 - 800,000 za madafu. napenda music hasa usikike kama studio..quality nzuri sana. pia nishauri kati ya Hisense, LG, na Boss upi mziki muziri
Bose au boss ya machina

Tafuta JBL soundbar speaker za kuchaji unachomoa unaweka Kila angel unakula mziki 360 sound
 
Ha ha [emoji23] [emoji23] nilijua utasema hivo mkuu ila mimi nakuambia hii Radio ni hatarii

Sent from my SOV42 using JamiiForums mobile app
Watt 45 ukiikuta Kwa brand za JBL, Anker, Bose, pioneer, okyo, Hisense, LG , Samsung inatoa pure music na sound na base ya kutosha

We imagine JBL flip 5 watt 20 ila mziki wake upo vile saa watt 45 itakuwaje

Ok tafuteni JBL partbox 310 watt 240 πŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…