Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante nayatumia sana haya mazoeziSalaam Wakuu,
Natumai nyote mpo salama. Nimeleta uzi huu kama sehemu ya kujihamasisha mimi na kuwahamasisha wengine kufanya mazoezi Soma: Umuhimu wa kufanya mazoezi
Natambau wengi wetu tunatamani kuwa wafanya mazoezi, lakini kwa sababu mbalimbali tumekuwa tunakosa muda kwenda uwanjani au sehemu za mazoezi,
Uzi huu umezingatia sana ratiba ya watu. Hivyo, nitakuwa nikiweka clips fupifupi zikionesha mazoezi rahisi ambayo mtu yoyote anaweza kufanyia nyumbani kwake.
Kama unayo clip pia weka hapa uzi huu ni wetu sote.
Katika kila clip ntayoweka fanya zoezi hilo kwa sekunde 30.
PIA SOMA: SoC 2021 - Afya: Unataka uanze kufanya mazoezi? Fuata hatua hizi...
View attachment 2326517
Dakika 10 ndio mazoezi gani hayo?Wataalamu wa mazoezi wanashauri ni bora utumie dakika 10 kufanya mazoezi kila asubuhi kuliko jioni ambayo wengi wanakuwa wamechoshwa na kazi.