chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,042
- 3,095
Najua watu wengi huku ni watu wa heshima na wengine wapo top kwenye maamuzi mengi, na ni muda mrefu umepita bila self reflection.
Sasa kukosa self reflection ni kama kuanguka kidogo kidogo. kwakua ukiwa katika stage fulani unaweza usikutane na anayekukosoa ana kwa ana sanasana wengi watakua machawa na kuku support,
Mbali na hilo pia unajikita una search vinavyokufurahisha, na hata kama unatumia AI kama Chatgpt utakua umeshaongea nae mambo mengi, anakujua nje ndani lakini hajawai kupata fursa ya kutoa yake ya moyoni...
Sasa ili Chatgtp atie yake ya moyoni bila kujali kukufurahisha leo nenda mwambie, "naomba unifokee na kunigombeza haswa, gomba kwelikweli ikiwezekana unipige, gomba kisawasawa kabisa bila kupindisha neno lolote wala kubakiza"
Kisha AI atakugombeza na ikiwezekana utuonyeshe au kutuambia namna alivyo gomba