Magufuli hakuna kitu anafanya zaidi ya petty politics na kujisifu tu kwamba he deserve to be a president rather than any TanzanianHehehe!! Hivi unajua Wakenya wangapia wamepitia hiyo hardtalk, nyie akipitia Mtanzania wa kwanza mnataka kumlinganisha na Wakenya. Ni kweli Tundu Lissu yuko poa sana ukilinganisha na Watanzania wengine, lakini ndio ameanza kucheza ligi ambayo Wakenya wameshaizoea.
Tatizo lake aliniba kwa kuponda kila kitu asilimia 100% hakuna nzuri alilisema kuhusu nchi yake na rais wake, upinzani wenu unafaa kupata darasa kuhusu uzalendo, ponda lakini sifia walau kimoja.

Tatizo siyo ligi is better u usome heading before any commentsHehehe!! Hivi unajua Wakenya wangapia wamepitia hiyo hardtalk, nyie akipitia Mtanzania wa kwanza mnataka kumlinganisha na Wakenya. Ni kweli Tundu Lissu yuko poa sana ukilinganisha na Watanzania wengine, lakini ndio ameanza kucheza ligi ambayo Wakenya wameshaizoea.
Tatizo lake aliniba kwa kuponda kila kitu asilimia 100% hakuna nzuri alilisema kuhusu nchi yake na rais wake, upinzani wenu unafaa kupata darasa kuhusu uzalendo, ponda lakini sifia walau kimoja.
Of course he deserves Ndio maana akachaguliwa kwa kura nyingi..Magufuli hakuna kitu anafanya zaidi ya petty politics na kujisifu tu kwamba he deserve to be a president rather than any Tanzanian
He was not chosen by the people only votes riging
Aibu gani. Hata Raisi wako jiwe asingeweza hats kidogo kwakuwa hujui English vema waweza sema kachemka
Sasa umeandika nini! Mihemko tuMagufuli hakuna kitu anafanya zaidi ya petty politics na kujisifu tu kwamba he deserve to be a president rather than any Tanzanian
Kwa ile hard talk interviews @ Dunia nzima ilisimama kumsikiliza Tundu lisu.Advocate mbobezi machachari Duniani # Marekan na nchi zingine developed countries wamemkabali hata. afrika pia tume mkubali@ tunasubir interviews nyingine CNN ,Aljazeera, na US news hapo next week
Hehehe!! Hivi unajua Wakenya wangapia wamepitia hiyo hardtalk, nyie akipitia Mtanzania wa kwanza mnataka kumlinganisha na Wakenya. Ni kweli Tundu Lissu yuko poa sana ukilinganisha na Watanzania wengine, lakini ndio ameanza kucheza ligi ambayo Wakenya wameshaizoea.
Tatizo lake aliniboa kwa kuponda kila kitu asilimia 100% hakuna nzuri alilisema kuhusu nchi yake na rais wake, upinzani wenu unafaa kupata darasa kuhusu uzalendo, ponda lakini sifia walau kimoja.
Usifie kitu gani kwa mfano?!Hehehe!! Hivi unajua Wakenya wangapia wamepitia hiyo hardtalk, nyie akipitia Mtanzania wa kwanza mnataka kumlinganisha na Wakenya. Ni kweli Tundu Lissu yuko poa sana ukilinganisha na Watanzania wengine, lakini ndio ameanza kucheza ligi ambayo Wakenya wameshaizoea.
Tatizo lake aliniboa kwa kuponda kila kitu asilimia 100% hakuna nzuri alilisema kuhusu nchi yake na rais wake, upinzani wenu unafaa kupata darasa kuhusu uzalendo, ponda lakini sifia walau kimoja.
Wewe umesikiliza vizuri yale mahojiano??, hakuna hata swali moja aliloulizwa kuhusu Tanzania "per se" ukiachilia mbali lile la ushoga, maswali yote yalihusu uongozi wa Rais Magufuli,
Dogo una akili nzuri sana na ni Mzalendo uliye mkweli. Ukiangalia Yale mahojiano unaona wazi kabisa huyu ni mtu mpuuzi selfish na ndio ambacho Mwandishi aliyemuhoju alifanikiwa kuonyesha.Hehehe!! Hivi unajua Wakenya wangapia wamepitia hiyo hardtalk, nyie akipitia Mtanzania wa kwanza mnataka kumlinganisha na Wakenya. Ni kweli Tundu Lissu yuko poa sana ukilinganisha na Watanzania wengine, lakini ndio ameanza kucheza ligi ambayo Wakenya wameshaizoea.
Tatizo lake aliniboa kwa kuponda kila kitu asilimia 100% hakuna nzuri alilisema kuhusu nchi yake na rais wake, upinzani wenu unafaa kupata darasa kuhusu uzalendo, ponda lakini sifia walau kimoja.
We buree kabisa, Rais Magufuli Kiongozi Wa wapi?Wewe umesikiliza vizuri yale mahojiano??, hakuna hata swali moja aliloulizwa kuhusu Tanzania "per se" ukiachilia mbali lile la ushoga, maswali yote yalihusu uongozi wa Rais Magufuli,
Bavicha hawatatoa like kwenye hii commentHehehe!! Hivi unajua Wakenya wangapia wamepitia hiyo hardtalk, nyie akipitia Mtanzania wa kwanza mnataka kumlinganisha na Wakenya. Ni kweli Tundu Lissu yuko poa sana ukilinganisha na Watanzania wengine, lakini ndio ameanza kucheza ligi ambayo Wakenya wameshaizoea.
Tatizo lake aliniboa kwa kuponda kila kitu asilimia 100% hakuna nzuri alilisema kuhusu nchi yake na rais wake, upinzani wenu unafaa kupata darasa kuhusu uzalendo, ponda lakini sifia walau kimoja.
Yaleyale ya lisu ushahidi uko wapi..? I can call them now.. Huo ndio ushahidi?He was not chosen by the people only votes riging
Rais ana mambo mengi sana ya kushughulikia hardtalk haina msaada wowote kwa watanzania wanyongeAibu gani. Hata Raisi wako jiwe asingeweza hats kidogo kwakuwa hujui English vema waweza sema kachemka