Hon Lissu has high IQ compared to all kenyan academician together with CCM members including Magu

cordoba

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2017
Posts
686
Reaction score
962
Kwa ile hard talk interviews @ Dunia nzima ilisimama kumsikiliza Tundu lisu.Advocate mbobezi machachari Duniani # Marekan na nchi zingine developed countries wamemkabali hata. afrika pia tume mkubali@ tunasubir interviews nyingine CNN ,Aljazeera, na US news hapo next week
 
Hehehe!! Hivi unajua Wakenya wangapia wamepitia hiyo hardtalk, nyie akipitia Mtanzania wa kwanza mnataka kumlinganisha na Wakenya. Ni kweli Tundu Lissu yuko poa sana ukilinganisha na Watanzania wengine, lakini ndio ameanza kucheza ligi ambayo Wakenya wameshaizoea.
Tatizo lake aliniboa kwa kuponda kila kitu asilimia 100% hakuna nzuri alilisema kuhusu nchi yake na rais wake, upinzani wenu unafaa kupata darasa kuhusu uzalendo, ponda lakini sifia walau kimoja.
 
Tatizo lake aliniba kwa kuponda kila kitu asilimia 100% hakuna nzuri alilisema kuhusu nchi yake na rais wake, upinzani wenu unafaa kupata darasa kuhusu uzalendo, ponda lakini sifia walau kimoja.
Magufuli hakuna kitu anafanya zaidi ya petty politics na kujisifu tu kwamba he deserve to be a president rather than any Tanzanian
 
Tatizo siyo ligi is better u usome heading before any comments
 
Kwa ile hard talk interviews @ Dunia nzima ilisimama kumsikiliza Tundu lisu.Advocate mbobezi machachari Duniani # Marekan na nchi zingine developed countries wamemkabali hata. afrika pia tume mkubali@ tunasubir interviews nyingine CNN ,Aljazeera, na US news hapo next week

That's right. Mzee baba hata kutamka"entrepreneurship' ni shiiida!!!!
 
Umesema IQ yake ipo juu zaidi ya 'all Kenyan academicians' ila usichokifahamu ni kwamba wakenya wote wanaojielewa sio 'academicians'. Wengi ni zaidi ya 'academicians', tuanze hapo, hivi unaelewa maana ya 'academicians' lakini?
 
Hehehe!! Hivi unajua Wakenya wangapia wamepitia hiyo hardtalk, nyie akipitia Mtanzania wa kwanza mnataka kumlinganisha na Wakenya. Ni kweli Tundu Lissu yuko poa sana ukilinganisha na Watanzania wengine, lakini ndio ameanza kucheza ligi ambayo Wakenya wameshaizoea.
Tatizo lake aliniboa kwa kuponda kila kitu asilimia 100% hakuna nzuri alilisema kuhusu nchi yake na rais wake, upinzani wenu unafaa kupata darasa kuhusu uzalendo, ponda lakini sifia walau kimoja.

Wewe umesikiliza vizuri yale mahojiano??, hakuna hata swali moja aliloulizwa kuhusu Tanzania "per se" ukiachilia mbali lile la ushoga, maswali yote yalihusu uongozi wa Rais Magufuli,
 
Usifie kitu gani kwa mfano?!
 
Wewe umesikiliza vizuri yale mahojiano??, hakuna hata swali moja aliloulizwa kuhusu Tanzania "per se" ukiachilia mbali lile la ushoga, maswali yote yalihusu uongozi wa Rais Magufuli,

Halafu huyo mwandishi aliegemea sana upande mmoja, yaani hata hakua anaskliza majibu ya Lissu, alikua kama robot maana wakati pointi ya Lissu ikianza kunoga anahamisha mada ghafla...hehehe yaani haya mahojiano hutaka uvumilivu maana najifahamu mimi sio mvumilivu na tutagombana humo ukianza kuhamisha hamisha mada wakati nimenogewa na kupata mzuka wa kujibu swali la awali.
Lakini je tukija hata kwa Magufuli, utani pembeni, anayo mapungufu yake lakini ina maana kwenye nchi yenu hiyo hana moja amefanya nzuri, wapinzani wa Kiafrika tatizo unafiki bila uzalendo, haiwezekani rais kwa hatamu yote iwe hajafanya hata kamoja tu ka kuonekana, duh! Jamaa aliponda yaani full machungu.....hehehe ndio maana juzi Magufuli alisema anaogopa wapinzani watamchinja.
 
Hehehe!! Hivi unajua Wakenya wangapia wamepitia hiyo hardtalk, nyie akipitia Mtanzania wa kwanza mnataka kumlinganisha na Wakenya. Ni kweli Tundu Lissu yuko poa sana ukilinganisha na Watanzania wengine, lakini ndio ameanza kucheza ligi ambayo Wakenya wameshaizoea.
Tatizo lake aliniboa kwa kuponda kila kitu asilimia 100% hakuna nzuri alilisema kuhusu nchi yake na rais wake, upinzani wenu unafaa kupata darasa kuhusu uzalendo, ponda lakini sifia walau kimoja.
Dogo una akili nzuri sana na ni Mzalendo uliye mkweli. Ukiangalia Yale mahojiano unaona wazi kabisa huyu ni mtu mpuuzi selfish na ndio ambacho Mwandishi aliyemuhoju alifanikiwa kuonyesha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Hehehe!! Hivi unajua Wakenya wangapia wamepitia hiyo hardtalk, nyie akipitia Mtanzania wa kwanza mnataka kumlinganisha na Wakenya. Ni kweli Tundu Lissu yuko poa sana ukilinganisha na Watanzania wengine, lakini ndio ameanza kucheza ligi ambayo Wakenya wameshaizoea.
Tatizo lake aliniboa kwa kuponda kila kitu asilimia 100% hakuna nzuri alilisema kuhusu nchi yake na rais wake, upinzani wenu unafaa kupata darasa kuhusu uzalendo, ponda lakini sifia walau kimoja.
Bavicha hawatatoa like kwenye hii comment

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom