and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Kama una hela za mawazo nakushauri usijichanganye ukanunua Honda CR-V utajuta. Kuna jamaa alinunua kwenye mnada Morogoro - Kilimo linamtesa kuliko maelezo. Amejaribu kuliuza kupitia madalali, akirusha picha hakuna anayejibu.
*** Nawataadharisha maana huko mitandaoni Bei inavutia Ila ukijichanganya usije kusema hukuambiwa.
*** Nawataadharisha maana huko mitandaoni Bei inavutia Ila ukijichanganya usije kusema hukuambiwa.