Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,417
- 5,579
Sijawahi onaKwa hiyo gari zingine hujawahi kuta imefunguliwa boneti au sio ila hiyo tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi onaKwa hiyo gari zingine hujawahi kuta imefunguliwa boneti au sio ila hiyo tu?
Ukiwa na comprehensive insurance mambo yanaenda safi ukiwa vizuri kwenye documentation...Umeelezea vizuri sana Bro, kwa kuongezea hapo hapo, hata mimi pia ni mnufaika wa Bima ila Haikuwa kazi rahisi. Na hata ilipothibitishwa nastahili kulipwa bado nilisubiri zaidi ya miezi miwili gari kutengenezwa, Kabla ya hapo tena nilishatumia mwezi mzima kukusanya taarifa pamoja na vielelezo kupeleka Bima.
Wakati gari yenyewe Ilikuwa imepata Damage kwenye mlango tu.
Ha ha haHata Pikipiki??
Umeambiwa shipa tofaut na expensiveKama honda CR-V ni expensive je hawa wanyama?🏃🏃🏃View attachment 1957447View attachment 1957449View attachment 1957450View attachment 1957446
Si ndio hapo,isijekuwa alikuwa na katoyota kake akataka kuvimbiana nacho akakimbizwa mbaya na kuachwa mbali mnoo ndio anakisagia kwetu wadau humuHujasema linakusumbua kitu gani mkuu? Ni tatizo gani lisilotengenezeka kwenye hiyo gari?
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Karibuni SsangyongNon-Toyota Association (NTA).
Hii kitu labda ufunge gesi
Kwa hiyo Toyota hazichemshi?Hii gari nimeikuta jana usiku jamaa kafungua bonnet mahali ishamchemsha! Honda tutumie pikipiki tu kibongo bongo
Ha ha haKwa hiyo Toyota hazichemshi?
Mkuu Mimi nimejikuta navutiwa na hii Honda CR-V ya mwaka 2010 4wd nitahitaji kupata uzooefu wakoUnachosema mkuu Ni kweli, mie nina Honda CRV model ya 2009 engine R20A1 natumia since 2010 mpaka Leo na bado ni nzima kabisa.
Maintenance kwa mwaka pia ni pesa ndogo sana compared na Toyota
Shipa mna maana Gani?Narudia, Honda CR-V Ni shipa