Honda CR-V: Shipa lisilovuma!

Honda CR-V: Shipa lisilovuma!

Umeelezea vizuri sana Bro, kwa kuongezea hapo hapo, hata mimi pia ni mnufaika wa Bima ila Haikuwa kazi rahisi. Na hata ilipothibitishwa nastahili kulipwa bado nilisubiri zaidi ya miezi miwili gari kutengenezwa, Kabla ya hapo tena nilishatumia mwezi mzima kukusanya taarifa pamoja na vielelezo kupeleka Bima.
Wakati gari yenyewe Ilikuwa imepata Damage kwenye mlango tu.
Ukiwa na comprehensive insurance mambo yanaenda safi ukiwa vizuri kwenye documentation...
 
Chuma

BK841528_c3a934 (1).jpeg
 
Unachosema mkuu Ni kweli, mie nina Honda CRV model ya 2009 engine R20A1 natumia since 2010 mpaka Leo na bado ni nzima kabisa.
Maintenance kwa mwaka pia ni pesa ndogo sana compared na Toyota
Mkuu Mimi nimejikuta navutiwa na hii Honda CR-V ya mwaka 2010 4wd nitahitaji kupata uzooefu wako
 
Back
Top Bottom