Honda Fit ni kagari kazuri nje na ndani, bei rafiki, mafuta kananusa, lakini watu hawakanunui. Kwanini?

Mkongwe, mkongwe.. Huko kwa marehemu mandela alphard hybrid ya miaka 2015 hivi zimesimamaje?
 
Ni kama milioni 8 na chenji chenji, tufanye 9 kabisa, kwa kuwa ni kutoka mwanachama wa SADC, TRA wanaweza kukamua kama kiasi gani?
TRA wameamua wao kuchukua Kodi bila kujali vitu vinatoka sadc wao wanataka gari mpya tu sio kwa used hata hiyo Sadc inaonekana ni Uhuni tu kama vitu ndani ya hii Sadc tunalipa kodi kubwa haina maana..
 
TRA wameamua wao kuchukua Kodi bila kujali vitu vinatoka sadc wao wanataka gari mpya tu sio kwa used hata hiyo Sadc inaonekana ni Uhuni tu kama vitu ndani ya hii Sadc tunalipa kodi kubwa haina maana..
Basi yangenikuta makubwa, nilikuwa najivuta vuta, mfuko utune niruke huko niisake alphard hybrid, nikijua kodi itakuwa kitonga..
 
Upo sahihi.. Navionaga ata IT vingi pamoja na Aqua.
 
Shukrani mkuu kwa experience.

Moja ya gari inayopendwa sana hii Fit.
 
"Technology yake ya hybrid kidogo iko complicated sio kama ya Toyota, ila ni kongwe na nzuri na ndio unaipata kwa Honda Vezel na Grace"

Hapa ndio kwenye uchawi wenyewe mkuu
 
Ni kagari kazuri mpaka siku utakapopiga mzinga taa ya nyuma au mbele, utazunguka dar yote na usipate replacement😀 utaambiwa mpala uagize Nairobi au SA, bado ukitaka kuuza hayanunuliki kirahisi kama wenzake kina Vitz,IST, Raum n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…