Honda na Nissan zaungana

Honda na Nissan zaungana

Dede 01

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2024
Posts
1,182
Reaction score
2,248
Habari wakuu.

Jana kampuni za magari ya Honda na Nissan zilifanya mazungumzo ya kibiashara na kuungana ili kukabiliana na ushindani uliopo kwenye soko la magari.

Muungano huu unalenga kutoa magari yanayoendana na teknolojia ya sasa yaani magari ya umeme(EV) na Autonomous cars (magari yanayojiendesha yenyewe).

Baada ya kampuni hizi kuungana hisa za kampuni ya Honda zapaa kwa asilimia 13%.

Yangu ni hayo tu. Nawasilisha.
Screenshot_20241228-085825_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom