Si ndio. na lengo la kuungana ni kumwangusha toyota
Sidhani Kama hilo ni lengo. Mama .. ikitokea hivyi itakuwa ni matokeo ya wao kuweza kuja na product nzuri sokoni maana ili uwe juu ni kuwa na product nzuri sokoni hakuna maajabu mengine.. hata toyota anaendelea kuwekeza na kujaribu kuwekeza ili aendelee kushikilia soko ... biashara ya magari miaka Ya karibuni imekuwa na changamoto kampuni zinajaribu kuja na plan zitakazowasaidia kufanikiwa
Sio mara ya kwanza. Kampuni kuungana cetron alimerge na Peugot wakaunda kampuni inatwa PSA na miaka kadhaa nyuma Jeep, chrysler, renault , Fiat, Peagout, na zingine nyingi wameungana kuanzisha kampuni moja inaitwa Stellantis
Kampuni wanapoungana factors zinakuwa nyingi chache ni hiz hapa chini.
Moja ku share cost za utengenezaji magari hasa kwenye swala la research na uwekezaji kwenye teknolojia mpya.. kampuni A iliwa imeshafabya research ya teknolojia flan ila uwekezaji unahitaj
Pesa nyingi wanaweza kumerge na kampuni B yenyewe ikatoa fungu
Mbili kuongeza base ya wateja kwa maana mtashare showrooms na miundo mbinu yenu
Mara nyingi hizi merger zinakuwa na life span mfano unaweza kumerge kwa 10 au 20 yrs au ikawa ndio moja kwa moja Huyo toyota mwenyewe alishamerge na General motors ya US mwaka 1984 alifanya hivyo pia na Holden ya Australia
Kampuni za magari zinamuingiliano kuliko unavyofikiri ndio maana unaweza ukakuta gari moja inakuwa branded na kampuni mbili Tofauti hii inaitwa "rebadge" pia kuna kitu kinaitwa "platform shairing" hii unawwza kukuta Engine ya brand moja inatumika kwenye brand ingine "IT IS A NORMAL PRACTISE" kwenye car industry
Mfano toyota glanza ile ni rebadge ya maruti belano, toyota urban cruiser ni Suzuki vitara, toyota Rumion ni Maruti Ertiga. Toyota anafanya kazi sana na suzuki anachukua gari zao na kuzi rebadge zinaingia sokon kama
toyota ila inakuwa na makubaliano ni soko gani wauze