Honda na Nissan zaungana

Honda na Nissan zaungana

Mwenye hisa kubwa atakuwa NISSAN, Huyo HONDA lini alianza kutengeneza magari? tujuavyo anatengeneza pikipiki
Labda huna exposure tu. Honda ana magari mengi sana, soko la Ulaya na marekani wanatumia sana magari yake
 
Uko Sahihi, Toyota Africa ni nyumbani japo soko lenye faida zaidi kwa Toyota halipo Africa as Africa wengi wana nunua used cars. Tho target ya hoa magiant wilioungana ni kupoteza makampuni makubwa kwenye soko la dunia kama Toyota
Kwa toyota wajipange haswa haitokuwa rahisi
 
Binafsi naona Tesla yuko na future nzuri sana kwakuwa kashaanza kuingiza sokoni magari ya umeme yenye viwango vya juu na autonomous cars kama vile cybertruck. Ambapo sidhani kama kuna kampuni nyingine imeanza kuingiza magari yanayojiendesha yenyewe sokoni.
 
Wenzetu wapo huku.
 
Back
Top Bottom