Mwenye hisa kubwa atakuwa NISSAN, Huyo HONDA lini alianza kutengeneza magari? tujuavyo anatengeneza pikipiki
Yapo magariMwenye hisa kubwa atakuwa NISSAN, Huyo HONDA lini alianza kutengeneza magari? tujuavyo anatengeneza pikipiki
Si ndio. na lengo la kuungana ni kumwangusha toyotaToyota anasoko kubwa sana hususani huku Afrika ukilinganisha na Honda au Nissan.
AiseeMwenye hisa kubwa atakuwa NISSAN, Huyo HONDA lini alianza kutengeneza magari? tujuavyo anatengeneza pikipiki
Ni kweli Nissan haeleweki hata magari yake yamekuwa na changamoto nyingi na spare parts zake ni aghali sanaToyota anasoko kubwa sana hususani huku Afrika ukilinganisha na Honda au Nissan.
Hiyo itakuwa ngumu sana inabidi Honda itafute soko kwanza huku Afrika kwakuwa waafrika wengi kwamfano huku Tz wanatumia Toyota hivyo inabidi Honda waanze kuingiza magari ya umeme huku Afrika kabla ya Toyota hawajaanza.Si ndio. na lengo la kuungana ni kumwangusha Toyota.
Ukiwa Africa Tanzania unajuwa gari ni Toyota tu,upo sahihi kutokana na maono ya kariakoo .. jaribu kuvuka mpaka hata kwa madiba tu.Still Toyota atashinda kwenye hii vita. Wangeungana na Mazda au Hyundai atleast Toyota angekua na wakati mgumu .
Aiseee huko nyuma, honda ana magari kitambo sanaMwenye hisa kubwa atakuwa NISSAN, Huyo HONDA lini alianza kutengeneza magari? tujuavyo anatengeneza pikipiki
Walikuwa na magari mazuri, until walipo ungana na manufacture wa ufaransa things went downhill. Wakaanza kutoa magari mabovuMagari ya Honda ni kichefu chefu!
Spaires parts zake bei juu kama lulu
Hakuna wa kumpa wakati mgumu toyota.Still Toyota atashinda kwenye hii vita. Wangeungana na Mazda au Hyundai atleast Toyota angekua na wakati mgumu .
Toyota city JapanHakuna wa kumpa wakati mgumu toyota.
Honda wanatengeneza magari, utakuwa hujui tu. Soko lao kubwa ni Marekani.Mwenye hisa kubwa atakuwa NISSAN, Huyo HONDA lini alianza kutengeneza magari? tujuavyo anatengeneza pikipiki