Huku mnakonunua magari ya mitumba? Acheni utani. Asilimia 99 ya magari yanayotembea hapa bongo ni mitumba, nani atakufikiria. Wenzenu wanalenga kwao Japan, Ulaya na MarekaniHiyo itakuwa ngumu sana inabidi Honda itafute soko kwanza huku Afrika kwakuwa waafrika wengi kwamfano huku Tz wanatumia Toyota hivyo inabidi Honda waanze kuingiza magari ya umeme huku Afrika kabla ya Toyota hawajaanza.
Toyota anajua kucheza na upepo. Japo kuungana kwa hao malegend huenda wanaplan ya kumpoteza Toyota kweny raman haitakua rahisi unless Mazda au Hyundai watakua kwenye hiyo planHakuna wa kumpa wakati mgumu toyota.
Itategemea kama Hyundai na Mazda watatoa magari ya EV yenye ubora wa hali ya juu kushinda Toyota.Toyota anajua kucheza na upepo. Japo kuungana kwa hao malegend huenda wanaplan ya kumpoteza Toyota kweny raman haitakua rahisi unless Mazda au Hyundai watakua kwenye hiyo plan
Si ndio. na lengo la kuungana ni kumwangusha toyota
Gari anazo labda sababu huku haziuziki nyingi ila nao kwenye magari wapo vizuriMwenye hisa kubwa atakuwa NISSAN, Huyo HONDA lini alianza kutengeneza magari? tujuavyo anatengeneza pikipiki
Upande wa ev tishio ni makampuni ya chinaSi ndio. na lengo la kuungana ni kumwangusha toyota
Umedadavua Vyema. Labda uko Sahihi au nipo Sahihi.Sidhani Kama hilo ni lengo.. biashara ya magari miaka Ya karibuni imekuwa na changamoto kampuni zinajaribu kuja na plan zitakazowasaidia kufanikiwa
Sio mara ya kwanza. Kampuni kuungana cetron alimerge na Peugot wakaunda kampuni inatwa PSA na miaka kadhaa nyuma Jeep, chrysler, renault , Fiat, Peagout, na zingine nyingi wameungana kuanzisha kampuni moja inaitwa Stellantis
Kampuni wanapoungana factors zinakuwa nyingi chache ni hiz hapa chini.
Moja ku share cost za utengenezaji magari hasa kwenye swala la research na uwekezaji kwenye teknolojia mpya.. kampuni A iliwa imeshafabya research ya teknolojia flan ila uwekezaji unahitaj
Pesa nyingi wanaweza kumerge na kampuni B yenyewe ikatoa fungu
Mbili kuongeza base ya wateja kwa maana mtashare showrooms na miundo mbinu yenu
Mara nyingi hizi merger zinakuwa na life span mfano unaweza kumerge kwa 10 au 20 yrs au ikawa ndio moja kwa moja Huyo toyota mwenyewe alishamerge na General motors ya US mwaka 1984 alifanya hivyo pia na Holden ya Australia
Kampuni za magari zinamuingiliano kuliko unavyofikiri ndio maana unaweza ukakuta gari moja inakuwa branded na kampuni mbili Tofauti hii inaitwa "rebadge" pia kuna kitu kinaitwa "platform shairing" hii unawwza kukuta Engine ya brand moja inatumika kwenye brand ingine "IT IS A NORMAL PRACTISE" kwenye car industry
Mfano toyota glanza ile ni rebadge ya maruti belano, toyota urban cruiser ni Suzuki vitara, toyota Rumion ni Maruti Ertiga. Toyota anafanya kazi sana na suzuki anachukua gari zao na kuzi rebadge zinaingia sokon kama
toyota ila inakuwa na makubaliano ni soko gani wauze
Yes sahihi kabisa ndio maana nikasema kuwa ni swala la kujua jinsi ya kucheza karata ndo maana nikaandika kuwa hata toyota wakiona kuna unafuu wa gharama na uwezekano wa kupiga pesa kupitia merging au kutumia "enginereing design" ya brand zingine anafanya hivyo.. mfano sasa hivi china anasumbua industry ya magari sababu ya uwezo wao wa kutengeneza gari kwa gharama nafuu na nguvu kazi .. hasa kwenye EV.. so kampuni badala ya kampuni za nje zimeamua kuingia JV na local companies za china ili kupush brand zao mfano FAW MOTORS (FAW) ya china ana JV na toyota wanatengeneza corrola Models na kuziuza china na masoko jiran kupitia FAW TOYOTA MOTORS LTD pia at the same time hao hao FAW wana JV na Audi, Mazda na VW pia kutengeneza baadhi ya Model ya gari zao kuziuza kwenye soko la chinaUmedadavua Vyema. Labda uko Sahihi au nipo Sahihi.
Mwaka 23 Toyota alifunga faida zaidi ya 30B USD kwa kuuza magari zaidi ya 2+M hii ni dhahiri miaka ya mbele hao magiant walioungana wanaweza wasiwe kwenye ramani kama "Motorola"
& huenda ndo Sababu ya kuchukua pre caution kwa kuungana ili kutengeneza magari yatakayo ingia kwenye competition na Toyota .
Miaka ya recently Toyota ameongeza nguvu kutengeneza magari yanayo endana na watu wenye uchumi wa chini kwa effort kubwa zaidi ya corp yoyote tho hii ilikua ni clear sign ya downfall ya hao magiant walioungana kama wasingeungana, Perhaps.
Lengo ni BYD na brand nyingine za magari ya china.Si ndio. na lengo la kuungana ni kumwangusha toyota
Kwa soko la tz na Africa ni ngumu sana kumpoteza toyota, tayari amejikita mizizi kwa zaidi ya miaka 20 ijayo bado tutakuwa na circle ya magari ambayo yamekuwa imported muda huu. Mazda anafanya vizuri ila simuoni akimtikisa toyota.Toyota anajua kucheza na upepo. Japo kuungana kwa hao malegend huenda wanaplan ya kumpoteza Toyota kweny raman haitakua rahisi unless Mazda au Hyundai watakua kwenye hiyo plan
Uko dunia gani?Mwenye hisa kubwa atakuwa NISSAN, Huyo HONDA lini alianza kutengeneza magari? tujuavyo anatengeneza pikipiki
Kitu kama hujui wewe haimaanishi hakipo. Magari ya Honda huyajui?? Braza, una wazo hata la kumiliki gari yenyewe?πππMwenye hisa kubwa atakuwa NISSAN, Huyo HONDA lini alianza kutengeneza magari? tujuavyo anatengeneza pikipiki
Lengo sio Toyota,lengo ni kushindana na makampuni ya china.Still Toyota atashinda kwenye hii vita. Wangeungana na Mazda au Hyundai atleast Toyota angekua na wakati mgumu .
Waafrika hawana hela. Honda ana jina zuri sana nchi kama USHiyo itakuwa ngumu sana inabidi Honda itafute soko kwanza huku Afrika kwakuwa waafrika wengi kwamfano huku Tz wanatumia Toyota hivyo inabidi Honda waanze kuingiza magari ya umeme huku Afrika kabla ya Toyota hawajaanza.
Kitu kama hujui wewe haimaanishi hakipo. Magari ya Honda huyajui?? Braza, una wazo hata la kumiliki gari yenyewe?
ya bongoUko dunia gani?
Basi uko nyuma sanaya bongo
Sema ujuavyo,lakini anatengeneza magari muda sanaMwenye hisa kubwa atakuwa NISSAN, Huyo HONDA lini alianza kutengeneza magari? tujuavyo anatengeneza pikipiki