Hong Kong: Mmiliki wa Vyombo vya Habari vinavyotetea Demokrasia afungwa miaka 5

Hong Kong: Mmiliki wa Vyombo vya Habari vinavyotetea Demokrasia afungwa miaka 5

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1670730736588.png

Kwa mujibu wa Hati ya Mashtaka, Jimmy Lai, ambaye alikamatwa kwenye maandamano ya kushinikiza Serikali ifuate Utawala wa Demokrasi mwaka 2019 pia alipigwa faini ya Tsh. Milioni 599.7

Mahakama imemkuta na hatia ya Ulaghai Mwanademokrasia huyo anaodaiwa kuufanya mwaka 2016 na 2020 kupitia moja ya kampuni zake, na kosa la pili ni ukiukaji wa mikataba ya ukodishaji majengo kutoka mwaka 1998 hadi 2015

Wanasheria wake wameuomba Umoja wa Mataifa kufanya uchunguza wa mashtaka hayo wakisema Serikali imeyaunda ili kumnyamazisha mtetezi huyo wa Demokrasia na Uhuru wa Maoni.

==================

A Hong Kong court sentenced a pro-democracy media tycoon to five years and nine months in prison on Saturday over two fraud charges linked to lease violations, the latest of a series of cases against prominent activists that critics say are aimed at crushing dissent in the city.

Jimmy Lai, who was arrested during a crackdown on the city’s pro-democracy movement following widespread protests in 2019 and under the National Security Law imposed by Beijing, was also fined 2 million Hong Kong dollars ($257,000).

His media company, Next Digital, published the now-defunct pro-democracy newspaper Apple Daily. The publication was forced to close following the arrests of its top executives, editors and journalists last year.

In October, Lai was found guilty of fraud for subletting part of the office space to a secretarial firm, which was also controlled by him, between 2016 and 2020. The second fraud count was for letting the same firm use the media outlet’s office space in an alleged breach of lease agreements from 1998 to 2015.

The court at that time ruled the moves had violated lease agreements with the Hong Kong Science and Technology Parks Corp. and that Lai had hidden the fact that the company was occupying space in the building.

Handing down the sentences on Saturday, Judge Stanley Chan said the violations, which he called “organized and planned,” occurred over two decades and that Lai had used his media organization as “an umbrella of protection.”

He said Lai did not feel guilty about the moves, so there was no basis for the court to reduce his jail term.

Lai’s former colleague Wong Wai-keung, who was convicted on a single charge of fraud over the case, must serve 21 months in jail, Chan added.

Lai’s legal team earlier asked the United Nations to investigate his imprisonment and multiple criminal charges as “legal harassment” to punish him for speaking out. The tycoon was previously sentenced to 20 months in jail for his role in unauthorized assemblies.

His national security trial, initially scheduled to begin on Dec. 1, was postponed after Hong Kong leader John Lee asked China to effectively block him from hiring a British defense lawyer. If convicted, Lai faces up to life imprisonment.

The enactment of the security law has led to the arrests of many prominent democracy activists in the semi-autonomous Chinese city. Hong Kong, a former British colony, returned to China’s rule in 1997.

It has also damaged faith in the future of the international financial hub, with increasing numbers of young professionals responding to the shrinking freedoms by moving abroad.

AP NEWS
 
Nchi za kijamaa..huwa ni nchi za kipumbafu sana...huwa hazi pendi mawazo mbadala kama ccm tu hawapendi wanao wambia ukweli.

#MaendeleoHayanaChama
Umesema kweli tupu! Nchi hizi pamoja na Tz inayoongozwa na chama cha mambuzi ni hovyo Sana! Takataka kabisa!
 
Fine haitoshi na kifungo juu
Mungu apewe sifa yule marehem yule basi
 
Huyu mwamba alifadhili maandamano ya HK kipindi kile yalivyoshika kasi. Licha ya kuyafadhili pia viongozi wa hayo maandamano kabla ya kutokea walionekana wakifanya vikao vya siri na viongozi wa Marekani.

Viongozi wa Ulaya na USA wamekataa na kuwatisha Katalunya kujitoa kwenye nchi ya Hispania. Kwa nini wanachochea HK ijitenge na CHINA?

Hakuna demokrasia hapa duniani. Bali ni demoghasia za kulinda maslahi ya kiuchumi na kusimika ukubwa wa kimalaka ya kidunia kwa kundi fulani la watu.
 
Ila watu wenye akili za kimavi wataona kaonewa ila nchi za Magh ni hatari kwa mustakabali wa Dunia yetu..
 
Huyu mwamba alifadhili maandamano ya HK kipindi kile yalivyoshika kasi. Licha ya kuyafadhili pia viongozi wa hayo maandamano kabla ya kutokea walionekana wakifanya vikao vya siri na viongozi wa Marekani.

Viongozi wa Ulaya na USA wamekataa na kuwatisha Katalunya kujitoa kwenye nchi ya Hispania. Kwa nini wanachochea HK ijitenge na CHINA?

Hakuna demokrasia hapa duniani. Bali ni demoghasia za kulinda maslahi ya kiuchumi na kusimika ukubwa wa kimalaka ya kidunia kwa kundi fulani la watu.
Wazee wa upinde wa mvua hawatakuelewa kabisa.
 
Back
Top Bottom