Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Toa Hilo Neno Dr ,hamna Dr mwenye akili kama zako!Ni mapunguani wenye akili kama hizo hakuna nyumbu akawa binadamu,hicho ndicho kilimo Cha upumbavu wako.ka ni ke,mumeo anashida kama ni me Bora usiwe na kizazi!,Uchapiwe maana utaileta vichaa nchini.Ujumbe huo pia uwafikie nyie nyumbu kama vinavyokuonyesha hivyo vidole vyako vitatu
Ukweli nitakuambieni nyumbu nyie na dada'ako nitampa mimba!!Toa Hilo Neno Dr ,hamna Dr mwenye akili kama zako!Ni mapunguani wenye akili kama hizo hakuna nyumbu akawa binadamu,hicho ndicho kilimo Cha upumbavu wako.ka ni ke,mumeo anashida kama ni me Bora usiwe na kizazi!,Uchapiwe maana utaileta vichaa nchini.
Namshukuru sana Mungu Kwa kunipa Akili kubwa kupitia maelezo,pole juha!Na pole mama Yako aliyebeba mimba,baba hakuvaa kondom ndio shida unapokuja .Ukweli nitakuambieni nyumbu nyie na dada'ako nitampa mimba!!
Hongera sana CHAWA!!Kwenye kongamano la TLS umeonyesha kuwa Jeshi la polisi na askari polisi wana upeo, wamekwenda shule na wana weledi wa mambo. Umeweza kukabili hadhira ambayo ina uadui na taasisi yako na bado ume deliver. Upelelezi ni sayansi na hauwezi kuendeshwa kwa ushabiki maandazi.
Hongera tena.
wanaomtetea Mulilo wana UTI sugu 🤣🤣🤣Ukiwa nyumbu si rahisi kumuelewa muliro sababu yeye anaongea kitaalamu na si kimihemko ya kilema lema au kilisulisu
Hapo ni kama mchomoaji, ubongo wake bado anao kwenye fuvu lake la kichwa!!Jukwaa lako ni hili
View attachment 3117279
Akiwe huyu Dr fake!wanaomtetea Mulilo wana UTI sugu 🤣🤣🤣
akiwepo baba yako na mamako marehemuWewe ni mmoja waoView attachment 3117206
Povu hili itoshe kusema ujumbe umepenya! Unateseka kutokea wapi aunt?akiwepo baba yako na mamako marehemu
Washikaji ndiyo walimpeleka Oysterbay?sasa mtu kasema alibebwa na washkaji, huwezi kuwa na mshikaji ambaye humjui, sativa aeleze tu wazi kuwa alikula vya watu
Kwenye kongamano la TLS umeonyesha kuwa Jeshi la polisi na askari polisi wana upeo, wamekwenda shule na wana weledi wa mambo. Umeweza kukabili hadhira ambayo ina uadui na taasisi yako na bado ume deliver. Upelelezi ni sayansi na hauwezi kuendeshwa kwa ushabiki maandazi.
Hongera tena.
Ama kweli nyie ndiye ni machawa halisi maana akili zenu za kupima na kuchambua mambo hazijai hata kwenye kifuniko cha chupa ya soda ya fanta....ni muhimu zaid vyama vya siasa hususani upinzani, vikaachana na kutumia ushirikina, kutoana kafara na kuchukuana misukule katika kutafuta uongozi halafu wanasingizia wengine, hiyo ni useless
well done Muliro, kuisemea vyema sana taasisi imara ya Jeshi la police Tanzania 💪
anajieleza vizur mno, huenda kwasabb ya mambo mazito anayoyaeleza kidogo yanawachanganya wengi..Ama kweli nyie ndiye ni machawa halisi maana akili zenu za kupima na kuchambua mambo hazijai hata kwenye kifuniko cha chupa ya soda ya fanta....
View attachment 3118066
Hebu msikilizeni vizuri huyu☝🏻☝🏻 afande wenu anayejichanganya mwenyewe kwa sababu ya kujaribu kusema uongo mbele ya wasomi wa sheria na Majaji na professional wengine wengi ndani ya ukumbi...
Rushwa na impunity ni hatari sana maana inamfanya hata mtu msomi kama huyu afande awe mjinga na mpumbavu tu...
Hana hata aibu kudanganya watu wazima na akili zao akidhani anaongea na machawa wenzake huko CCM....
Na hii ndiyo hatari ya "mtu wa umma" kuacha kutumikia umma kwa mujibu wa sheria, badala yake anatumikia watu wanampa rushwa ya madaraka yake hayo ya "u - kamanda polisi..."
Kwa ishu ya utekaji wa Sativa, ni afadhali hata angekula kona na kukwepa kwenda kujianika na kujiabisha mbele ya live tv camera na kurushwa dunia nzima...!
Ukiacha ad bacculum, haujapinga ama kukosoa hoja yake hata mojaAma kweli nyie ndiye ni machawa halisi maana akili zenu za kupima na kuchambua mambo hazijai hata kwenye kifuniko cha chupa ya soda ya fanta....
View attachment 3118066
Hebu msikilizeni vizuri huyu☝🏻☝🏻 afande wenu anayejichanganya mwenyewe kwa sababu ya kujaribu kusema uongo mbele ya wasomi wa sheria na Majaji na professional wengine wengi ndani ya ukumbi...
Rushwa na impunity ni hatari sana maana inamfanya hata mtu msomi kama huyu afande awe mjinga na mpumbavu tu...
Hana hata aibu kudanganya watu wazima na akili zao akidhani anaongea na machawa wenzake huko CCM....
Na hii ndiyo hatari ya "mtu wa umma" kuacha kutumikia umma kwa mujibu wa sheria, badala yake anatumikia watu wanampa rushwa ya madaraka yake hayo ya "u - kamanda polisi..."
Kwa ishu ya utekaji wa Sativa, ni afadhali hata angekula kona na kukwepa kwenda kujianika na kujiabisha mbele ya live tv camera na kurushwa dunia nzima...!
Umeitazama na kumsikiliza afande wako kwenye video clip hiyo akijikanyaga mwenyewe kwenye tukio moja tu la Sativa...?Ukiacha ad bacculum, haujapinga ama kukosoa hoja yake hata moja
Ni sahihi kwa tafsiri yako maana kama alivyo yeye, na wewe ndivyo ulivyo..!anajieleza vizur mno, huenda kwasabb ya mambo mazito anayoyaeleza kidogo yanawachanganya wengi..
but kamanda anaeleza mambo kwa usahihi sana, ukilinganisha na kusudi la anachotaka muuliza maswali 🐒
Nami nampongeza Muliro kwa kuonyesha usomi na kuelimika kwake kwa kuhudhuria kongamano hilo,full stop.Muliro kasoma sheria ila kitendo cha kufuata maagizo ya kupindisha na kuvunja sheria kinamharibia sifa au "reputation" yake.
ile tu kuhudhuria kongamano la TLS chaonyesha kwamba amesoma na ni mwelewa wa masuala mengi tu.
Kwahitajika mabadiliko makubwa kwenye sheria (regulations), miongozo na kanuni zinoongoza jeshi la polisi.
Kukifanyika hayo basi chuo cha polisi Moshi kitatoa wahitimu wazuri na pia chuo cha maofisa wenye shahada cha Kibasila, kitatoa maofisa waandamizi wenye kuelewa kwamba dunia yabadilika kila siku.