Hongera Afande Muliro

Hongera Afande Muliro

Ama kweli nyie ndiye ni machawa halisi maana akili zenu za kupima na kuchambua mambo hazijai hata kwenye kifuniko cha chupa ya soda ya fanta....
View attachment 3118066

Hebu msikilizeni vizuri huyu☝🏻☝🏻 afande wenu anayejichanganya mwenyewe kwa sababu ya kujaribu kusema uongo mbele ya wasomi wa sheria na Majaji na professional wengine wengi ndani ya ukumbi...

Rushwa na impunity ni hatari sana maana inamfanya hata mtu msomi kama huyu afande awe mjinga na mpumbavu tu...

Hana hata aibu kudanganya watu wazima na akili zao akidhani anaongea na machawa wenzake huko CCM....

Na hii ndiyo hatari ya "mtu wa umma" kuacha kutumikia umma kwa mujibu wa sheria, badala yake anatumikia watu wanampa rushwa ya madaraka yake hayo ya "u - kamanda polisi..."

Kwa ishu ya utekaji wa Sativa, ni afadhali hata angekula kona na kukwepa kwenda kujianika na kujiabisha mbele ya live tv camera na kurushwa dunia nzima...!
Wakistaafu wanakaa kwa kujifichaficha Aibu! Uzuri wa uchawa,wanajisahau wa
 
Back
Top Bottom