Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
kama vile ulivyo wewe na wenzie, mmefuraaa!🤣Ni sahihi kwa tafsiri yako maana kama alivyo yeye, na wewe ndivyo ulivyo..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama vile ulivyo wewe na wenzie, mmefuraaa!🤣Ni sahihi kwa tafsiri yako maana kama alivyo yeye, na wewe ndivyo ulivyo..!
unadhani hata anaelewa zaidi ya kua na mihemko tu 🐒Ukiacha ad bacculum, haujapinga ama kukosoa hoja yake hata moja
Nakubaliana na wewe!Hakana watu washirikina kama polisiii.
Wanashinda kwa waganga hao.
Wan
Ile kazi hapana aisee.. wanalogana sana hata wao kwa waoNakubaliana na wewe!
Wakistaafu wanakaa kwa kujifichaficha Aibu! Uzuri wa uchawa,wanajisahau waAma kweli nyie ndiye ni machawa halisi maana akili zenu za kupima na kuchambua mambo hazijai hata kwenye kifuniko cha chupa ya soda ya fanta....
View attachment 3118066
Hebu msikilizeni vizuri huyu☝🏻☝🏻 afande wenu anayejichanganya mwenyewe kwa sababu ya kujaribu kusema uongo mbele ya wasomi wa sheria na Majaji na professional wengine wengi ndani ya ukumbi...
Rushwa na impunity ni hatari sana maana inamfanya hata mtu msomi kama huyu afande awe mjinga na mpumbavu tu...
Hana hata aibu kudanganya watu wazima na akili zao akidhani anaongea na machawa wenzake huko CCM....
Na hii ndiyo hatari ya "mtu wa umma" kuacha kutumikia umma kwa mujibu wa sheria, badala yake anatumikia watu wanampa rushwa ya madaraka yake hayo ya "u - kamanda polisi..."
Kwa ishu ya utekaji wa Sativa, ni afadhali hata angekula kona na kukwepa kwenda kujianika na kujiabisha mbele ya live tv camera na kurushwa dunia nzima...!
Looh!Kwenye kongamano la TLS umeonyesha kuwa Jeshi la polisi na askari polisi wana upeo, wamekwenda shule na wana weledi wa mambo. Umeweza kukabili hadhira ambayo ina uadui na taasisi yako na bado ume deliver. Upelelezi ni sayansi na hauwezi kuendeshwa kwa ushabiki maandazi.
Hongera tena.
Hapo Ukute ana miaka25-36,Akifikisha 50,kichwa kimechoka chipsi mayai sio msosi wenye afya!Looh!