Hongera Afande Muliro

Hongera Afande Muliro

Ujumbe huo pia uwafikie nyie nyumbu kama vinavyokuonyesha hivyo vidole vyako vitatu
Toa Hilo Neno Dr ,hamna Dr mwenye akili kama zako!Ni mapunguani wenye akili kama hizo hakuna nyumbu akawa binadamu,hicho ndicho kilimo Cha upumbavu wako.ka ni ke,mumeo anashida kama ni me Bora usiwe na kizazi!,Uchapiwe maana utaileta vichaa nchini.
 
Ukweli nitakuambieni nyumbu nyie na dada'ako nitampa mimba!!
 
Namshukuru sana Mungu Kwa kunipa Akili kubwa kupitia maelezo,pole juha!Na pole mama Yako aliyebeba mimba,baba hakuvaa kondom ndio shida unapokuja .
 
Kwenye kongamano la TLS umeonyesha kuwa Jeshi la polisi na askari polisi wana upeo, wamekwenda shule na wana weledi wa mambo. Umeweza kukabili hadhira ambayo ina uadui na taasisi yako na bado ume deliver. Upelelezi ni sayansi na hauwezi kuendeshwa kwa ushabiki maandazi.
Hongera tena.
Hongera sana CHAWA!!

Speech ya jaji Mstaafu ilimaliza kila Kitu, was very professional, objectively delived!!

Alichoongea Mulilo unachomsifia na kujitoa UFAHAMU, ilikuwa ni USHABWADA tupu.

🤔🤔😃
 
Mtu na akili zako timamu,unamsifia mtu kama huyu,kweli Wacha walipakodi wawe wachache!
 
Serikakali kuangukia pua mahakamani ni hiari kwa kuweka watu disaini ya huyu , lazima uangukie kisogo sio pua !
 
Kwenye kongamano la TLS umeonyesha kuwa Jeshi la polisi na askari polisi wana upeo, wamekwenda shule na wana weledi wa mambo. Umeweza kukabili hadhira ambayo ina uadui na taasisi yako na bado ume deliver. Upelelezi ni sayansi na hauwezi kuendeshwa kwa ushabiki maandazi.
Hongera tena.
ni muhimu zaid vyama vya siasa hususani upinzani, vikaachana na kutumia ushirikina, kutoana kafara na kuchukuana misukule katika kutafuta uongozi halafu wanasingizia wengine, hiyo ni useless

well done Muliro, kuisemea vyema sana taasisi imara ya Jeshi la police Tanzania 💪
Ama kweli nyie ndiye ni machawa halisi maana akili zenu za kupima na kuchambua mambo hazijai hata kwenye kifuniko cha chupa ya soda ya fanta....

Hebu msikilizeni vizuri huyu☝🏻☝🏻 afande wenu anayejichanganya mwenyewe kwa sababu ya kujaribu kusema uongo mbele ya wasomi wa sheria na Majaji na professional wengine wengi ndani ya ukumbi...

Rushwa na impunity ni hatari sana maana inamfanya hata mtu msomi kama huyu afande awe mjinga na mpumbavu tu...

Hana hata aibu kudanganya watu wazima na akili zao akidhani anaongea na machawa wenzake huko CCM....

Na hii ndiyo hatari ya "mtu wa umma" kuacha kutumikia umma kwa mujibu wa sheria, badala yake anatumikia watu wanampa rushwa ya madaraka yake hayo ya "u - kamanda polisi..."

Kwa ishu ya utekaji wa Sativa, ni afadhali hata angekula kona na kukwepa kwenda kujianika na kujiabisha mbele ya live tv camera na kurushwa dunia nzima...!
 
View attachment 3118066

anajieleza vizur mno, huenda kwasabb ya mambo mazito anayoyaeleza kidogo yanawachanganya wengi..

but kamanda anaeleza mambo kwa usahihi sana, ukilinganisha na kusudi la anachotaka muuliza maswali 🐒
 
Ama kweli nyie ndiye ni machawa halisi maana akili zenu za kupima na kuchambua mambo hazijai hata kwenye kifuniko cha chupa ya soda ya fanta....
View attachment 3118066

Hebu msikilizeni vizuri huyu☝🏻☝🏻 afande wenu anayejichanganya mwenyewe kwa sababu ya kujaribu kusema uongo mbele ya wasomi wa sheria na Majaji na professional wengine wengi ndani ya ukumbi...

Rushwa na impunity ni hatari sana maana inamfanya hata mtu msomi kama huyu afande awe mjinga na mpumbavu tu...

Hana hata aibu kudanganya watu wazima na akili zao akidhani anaongea na machawa wenzake huko CCM....

Na hii ndiyo hatari ya "mtu wa umma" kuacha kutumikia umma kwa mujibu wa sheria, badala yake anatumikia watu wanampa rushwa ya madaraka yake hayo ya "u - kamanda polisi..."

Kwa ishu ya utekaji wa Sativa, ni afadhali hata angekula kona na kukwepa kwenda kujianika na kujiabisha mbele ya live tv camera na kurushwa dunia nzima...!
Ukiacha ad bacculum, haujapinga ama kukosoa hoja yake hata moja
 
Umeitazama na kumsikiliza afande wako kwenye video clip hiyo akijikanyaga mwenyewe kwenye tukio moja tu la Sativa...?

Kauli yake moja tu hii👇🏻inayom - describe how horrible police force is...

"..na mimi nikisema hakuna karakana pale polisi Osterbay mtanifanya nini...? Afande Muliro.

Hakuna hoja ya kukosoa kwa mtu anayesema uongo wa wazi huku akiwa ame - panic akitamani amteke hata huyu aliye mbele yake akihojiana naye...!

Mtu mwongo majibu yake ni kumpuuza na kumuacha na ujinga wake...

Na kwa hakika ndivyo alivyoonekana mbele ya wasomi wale pale ukumbini aliokuwa anajaribu kuwafanya wajinga na huku yeye akijiona ni mwerevu sana...!
 
Muliro kasoma sheria ila kitendo cha kufuata maagizo ya kupindisha na kuvunja sheria kinamharibia sifa au "reputation" yake.

ile tu kuhudhuria kongamano la TLS chaonyesha kwamba amesoma na ni mwelewa wa masuala mengi tu.

Kwahitajika mabadiliko makubwa kwenye sheria (regulations), miongozo na kanuni zinoongoza jeshi la polisi.

Kukifanyika hayo basi chuo cha polisi Moshi kitatoa wahitimu wazuri na pia chuo cha maofisa wenye shahada cha Kibasila, kitatoa maofisa waandamizi wenye kuelewa kwamba dunia yabadilika kila siku.
Nami nampongeza Muliro kwa kuonyesha usomi na kuelimika kwake kwa kuhudhuria kongamano hilo,full stop.
 
Back
Top Bottom