Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Hatimaye kipofu kaona mwezi
Baada ya kelele zangu kumfikia WengerHatimaye kipofu kaona mwezi
😆😆😆😆Ulazima gani kusema “..after 22-year wait..”?? 🫤🫤🫤
Kwa sababu ndo wanaojua. Kama unajua dunia nzima itakufuatilia ila kama hujui unapiga kimya.Sasa nyie Wabongo weusi na Africans timu ni ya Uingereza,mnaosherekea ni nyie,ni lini Waingereza nao watasherekea ubingwa wa timu zenu? ni upumbavu,ujuha,na bado tupo kwenye utumwa wa fikra wa watu hawa.
Tumebeba ubingwaWivu tuu
Kama ilivyo kwa watu wa Mbeya kushabikia Yanga na Simba na kuziacha timu zao.Sasa nyie Wabongo weusi na Africans timu ni ya Uingereza,mnaosherekea ni nyie,ni lini Waingereza nao watasherekea ubingwa wa timu zenu? ni upumbavu,ujuha,na bado tupo kwenye utumwa wa fikra wa watu hawa.
Upewe timu jamaa?Ni kweli lakini Arteta hamna kitu
We jamaa chizi sana!Leo nyeto itaniua, maana siyo kwa furaha hii.
Tueleze aliye na kitu tokea mei 15 2004Ni kweli lakini Arteta hamna kitu