Hongera ATCL

Hongera ATCL

Maxence Melo moderators uliowaweka wengi ni partisan. Waachagua nyuzi za kuzichinjia baharinin zipi zionekane. Comment yangu hii sidhani kama itadumu.
ATCL kila mara inajadiliwa jukwaa la siasa. Na kinachojadiliwa ni kuwa hawajui biashara,shirika litakufa,mara biashara ya ndege kichaa lakini hawahamishi hizo thread jukwaa la biashara! Leo thread ya kupongeza ATCL inatolewa jukwaa la habari mchanganyiko inaletwa kwenye biashara! Mchanganyiko maana yake nini?
 
Nikienda kwenye ur thread nikichagua sioni option ya ku delete uzi
Unaweza ku-delete content. Huwezi kufuta kabisa,hilo wanaweza mods tu. Kama hapa mimi nimefuta original content niliyopost mwanzo,nikaandika hayo unayoyaona sasa. Pia ningeweza kufuta ikabaki blank ila kuiondoa kabisa huwezi. Though you can delete a post kami hii niliokujibu.
 
Kwani ajira zao zilizotangazwa wamesha ajiriwa wapya? Au ni wazamani wanamalizia muda wao?
 
Back
Top Bottom