GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Pale hamna kocha mda utadhihirisha tu.Guardiola mnene apewe muda au hatoshi?
Afurumushwe ( Afukuzwe ) haraka sana Usiku huu huu tu tafadhali.Guardiola mnene apewe muda au hatoshi?
Huu ni mpira brother kila team ina haki ya kushindaUdhaifu wa Simba upa hapa ,wakitanguliwa jua game ishaisha ,wakitangulia wanaridhika na kuanza kucheza na majukwaa mwisho wanasawazishiwa kirahic Sana.
Msimu uliopita tulipoteza ubingwa sabab ya ujinga wa kudharau baadhi ya mechi wakat yanga kila mechi kwake ikawa fainal.
Kupoteza point 3 hili gap kuja kusawazisha ni ngumu Sana ,Zaid naziona draw nyingi kwa upande wa Simba zinakuja ,huku yanga akishinda kwa namna yoyote ile.
Mpaka Leo nashindwa kuelewa bocco,nyoni ,gadiel,mwanuke,kapama ,kibu wanafanya nini hapo Simba.
Yaan hii Simba itapigwa Sana mech za mbelen wasipokaza na kufanya kila game ni fainal.
Leo tulibanwa kila Kona ,yaan mitego yote umeteguliwa kilain na uchohoro ukiwa kwa nyoni
Hapana mkuu....mapema Sana kukata tamaa[emoji3]Sijawahi kupatwa na Hasira na Uchungu kama hii leo. Kyombo, Mkude, Nyoni na Chama wametuangusha pakubwa Leo.
Kuachwa na Yanga SC hii ya sasa yenye Mikakati mingi ni kuwapa tu tayari Ubingwa wa NBC Premier League kwa Msimu huu tena.
Rotation ingefanyika kama walivofanya Yanga jana Leo tungeshuhudia maafa maana Simba wachezaji wao wazuri ni wale 11 tu wanaoanza.Huenda timu imepigwa kutokana na ukaribu wa mechi, hivyo fatigue imechangia...
Simba haina rotation nzuri ya wachezaji...
Kama kawaida yangu ili wewe na OKW BOBAN SUNZU muache kutudanganya:Sijawahi kupatwa na hasira na uchungu kama hii leo. Kyombo, Mkude, Nyoni na Chama wametuangusha pakubwa leo.
Kuachwa na Yanga SC hii ya sasa yenye mikakati mingi ni kuwapa tu tayari Ubingwa wa NBC Premier League kwa msimu huu tena.
Silent watchers tunajua nini kinaendelea hadi mkapoteza gemu hiyo, hata hivyo tutarajie maboresho kutoka kwa yule mnene.Sijawahi kupatwa na hasira na uchungu kama hii leo. Kyombo, Mkude, Nyoni na Chama wametuangusha pakubwa leo.
Kuachwa na Yanga SC hii ya sasa yenye mikakati mingi ni kuwapa tu tayari Ubingwa wa NBC Premier League kwa msimu huu tena.