Hongera Azam FC, Simba SC bado mbovu na Yanga SC bingwa tena

Hongera Azam FC, Simba SC bado mbovu na Yanga SC bingwa tena

Ni wasiwasi tu wa Azam kwakua alikua awaja Ifunga Simba Kwa muda mrefu ila kama wangejiamini wangeweza kuifunga Simba ata goli 3.
Simba walizidiwa maeneo yote ya uwanja mpaka jukwaani Kwa mashabiki.
Aliye msajili James Akaminko nampa Hongera.
 
Ndugu uzawa unaigharimu Simba,,,yanga hawakuwa wapuuz kuachana na makocha wan kibongo.....
Imefka mwisho wa akna bocco,,mkude,,nyoni na matola but still wapo Simba na hawana mchango wote zaidi ya majungu kwenye timu kisa wao ni ma-legends
 
Sijawahi kupatwa na hasira na uchungu kama hii leo. Kyombo, Mkude, Nyoni na Chama wametuangusha pakubwa leo.

Kuachwa na Yanga SC hii ya sasa yenye mikakati mingi ni kuwapa tu tayari Ubingwa wa NBC Premier League kwa msimu huu tena.
panya kanaswa na mtego wa panya
 
Udhaifu wa Simba upa hapa ,wakitanguliwa jua game ishaisha ,wakitangulia wanaridhika na kuanza kucheza na majukwaa mwisho wanasawazishiwa kirahic Sana.

Msimu uliopita tulipoteza ubingwa sabab ya ujinga wa kudharau baadhi ya mechi wakat yanga kila mechi kwake ikawa fainal.
Kupoteza point 3 hili gap kuja kusawazisha ni ngumu Sana ,Zaid naziona draw nyingi kwa upande wa Simba zinakuja ,huku yanga akishinda kwa namna yoyote ile.
Mpaka Leo nashindwa kuelewa bocco,nyoni ,gadiel,mwanuke,kapama ,kibu wanafanya nini hapo Simba.

Yaan hii Simba itapigwa Sana mech za mbelen wasipokaza na kufanya kila game ni fainal.
Leo tulibanwa kila Kona ,yaan mitego yote umeteguliwa kilain na uchohoro ukiwa kwa nyoni

Kwa kweli ile squad siyo ya hadhi ya Simba. Ifike mahali kuna watu wanatakiwa kuondoka tu. Katikati palikufa kabisa na kwa umri wa Nyoni watu walipita pale. Lakini utashangaa Azam inakufa kijinga na team dhaifu, tunza hii post.
Kuna issue ambayo ni facts, angalau angekuwepo Putin na Mzamiru tusingepitia haya, lakini siyo Nyoni. Kama kweli Simba imepewa room na CAF, dirisha dogo ifanyike overhaul karibia nusu ya kikosi, hatuwez kutoboa kwa hali ilivyo sasa. Ama kuhusu Yanga, hata hiyo siyo wazuri sana, kama watashiriki mashindano ya Kimataifa wakajutahudi kuvuka na kufika makundi, naiona nayo ikitepeta kwa fatique, kubalance mechi za Kimataifa na za nyumbani halijawahi kuwa jambo rahisi sana.
 
Sijawahi kupatwa na hasira na uchungu kama hii leo. Kyombo, Mkude, Nyoni na Chama wametuangusha pakubwa leo.

Kuachwa na Yanga SC hii ya sasa yenye mikakati mingi ni kuwapa tu tayari Ubingwa wa NBC Premier League kwa msimu huu tena.
'Mgunda apewe mkataba haraka, tena alipwe kama wazungu" hahaha! Wapi Gentamycine na Njaakali?
 
Sijawahi kupatwa na hasira na uchungu kama hii leo. Kyombo, Mkude, Nyoni na Chama wametuangusha pakubwa leo.

Kuachwa na Yanga SC hii ya sasa yenye mikakati mingi ni kuwapa tu tayari Ubingwa wa NBC Premier League kwa msimu huu tena.
Ewaaaa huu Sasa ndo ukweli usio na makandokando niliokuwa nikiusubiri njaakalihatari najua umeishiwa bando lakini siku ukirudi jifunze kuandika nyuzi Kali kama hizi, unafki ukae kando jadili uhalisia.
 
Hawa Azam hatukuwapa uzito uliostahili, utopolo walitoka salama kwa lile goli la mpira uliotoka nje ya uwanja refa akapeta, ligi bado Simba wawe serious na game zinazokuja.
 
Ewaaaa huu Sasa ndo ukweli usio na makandokando niliokuwa nikiusubiri njaakalihatari najua umeishiwa bando lakini siku ukirudi jifunze kuandika nyuzi Kali kama hizi, unafki ukae kando jadili uhalisia.
Huyu njaakalihatari aliongoza mashambulizi hatari kwa Uongozi wa Simba, ati ni kwanini hawampi mkataba mnono kocha Mgunda. Akuje huku atupe maoni yake.
 
Sijawahi kupatwa na hasira na uchungu kama hii leo. Kyombo, Mkude, Nyoni na Chama wametuangusha pakubwa leo.

Kuachwa na Yanga SC hii ya sasa yenye mikakati mingi ni kuwapa tu tayari Ubingwa wa NBC Premier League kwa msimu huu tena.
Umtafute manula akupe mgao aliopewa na prince dube maana mgao aliopewa na Aziz ki alikunyima🤣🤣
 
Ni wasiwasi tu wa Azam kwakua alikua awaja Ifunga Simba Kwa muda mrefu ila kama wangejiamini wangeweza kuifunga Simba ata goli 3.
Simba walizidiwa maeneo yote ya uwanja mpaka jukwaani Kwa mashabiki.
Aliye msajili James Akaminko nampa Hongera.
Ila tukiacha unafiki Simba anaepata number Azam ni chama tu

Kwa yanga Bangala tu basi
 
Ndugu uzawa unaigharimu Simba,,,yanga hawakuwa wapuuz kuachana na makocha wan kibongo.....
Imefka mwisho wa akna bocco,,mkude,,nyoni na matola but still wapo Simba na hawana mchango wote zaidi ya majungu kwenye timu kisa wao ni ma-legends
Ni ukweli mchungu kwa timu zetu kung'ang'ania wachezaji wasiokuwa na tija kwa timu kisa uzawa/uswahili bila kuangalia mzigo inayobebeshwa timu na hawa wachezaji.

Waachwe watafute timu zenye hadhi zao kwa sasa kama wanavyofanyiwa wasiokuwa wazawa/waswahili.

Tuache kubebana bebana tuache uhalisia uchukue nafasi hapo ndipo tutakapo kuwa na timu za kiushindani.
 
Nyoni anaachwa sababu best penalty taker
 
Mapema sana ushanyosha mikono juu??

Hivi Hawa wachezaji wako wapi?
Nelson Okwa , Victor Akpan na muhamed Quattara.
Sio wazawa hivyo hawatacheza Simba mpaka pale atakapokuja kocha mgeni kutoka nje ya mipaka ya Tanzania
 
Huenda timu imepigwa kutokana na ukaribu wa mechi, hivyo fatigue imechangia...

Simba haina rotation nzuri ya wachezaji...
Hapana
Hakuna ligi zinazocheza mfululizo kama Ulaya
Wanacheza Jmos, J4 mechi

Ukiangalia ni utifauti wa siku2 tu

Sasa hawa wamecheza J2 wamekuja Cheza Alhamis, wamepumzika siku 3
 
Hapana
Hakuna ligi zinazocheza mfululizo kama Ulaya
Wanacheza Jmos, J4 mechi

Ukiangalia ni utifauti wa siku2 tu

Sasa hawa wamecheza J2 wamekuja Cheza Alhamis, wamepumzika siku 3

Ni kweli timu za Ulaya zinacheza mfululizo, lakini tayari huko ni Ulaya ambako kuna ubora na utimamu wa kila kitu kimichezo kuanzia chakula wanachokula, mahali wanapolala, viwanja wanavyochezea, usafiri wanaoutumia, mazoezi wanayopewa, utimamu wa kiafya ya kiakili au mwili wanauokuwa nao wachezaji na mambo mengi tusiyokuwa nayo hapa...

Ni kosa la jinai kwa namna yoyote kujilinganisha na tusiolingana nao...
 
Game plan yake ndo alifeli Kocha lkn yote kwa yote Azam kwa mchezaji mmoja mmoja walikuwa bora na usharp wao umewasaidia
 
Back
Top Bottom