Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rotation ingefanyika kama walivofanya Yanga jana Leo tungeshuhudia maafa maana Simba wachezaji wao wazuri ni wale 11 tu wanaoanza.
panya kanaswa na mtego wa panyaSijawahi kupatwa na hasira na uchungu kama hii leo. Kyombo, Mkude, Nyoni na Chama wametuangusha pakubwa leo.
Kuachwa na Yanga SC hii ya sasa yenye mikakati mingi ni kuwapa tu tayari Ubingwa wa NBC Premier League kwa msimu huu tena.
Udhaifu wa Simba upa hapa ,wakitanguliwa jua game ishaisha ,wakitangulia wanaridhika na kuanza kucheza na majukwaa mwisho wanasawazishiwa kirahic Sana.
Msimu uliopita tulipoteza ubingwa sabab ya ujinga wa kudharau baadhi ya mechi wakat yanga kila mechi kwake ikawa fainal.
Kupoteza point 3 hili gap kuja kusawazisha ni ngumu Sana ,Zaid naziona draw nyingi kwa upande wa Simba zinakuja ,huku yanga akishinda kwa namna yoyote ile.
Mpaka Leo nashindwa kuelewa bocco,nyoni ,gadiel,mwanuke,kapama ,kibu wanafanya nini hapo Simba.
Yaan hii Simba itapigwa Sana mech za mbelen wasipokaza na kufanya kila game ni fainal.
Leo tulibanwa kila Kona ,yaan mitego yote umeteguliwa kilain na uchohoro ukiwa kwa nyoni
Mama jumbo leo umepoa balaaNi maoni yako, kila mtu ana uhuru wa kuongea kile anachoona ni sahihi.
'Mgunda apewe mkataba haraka, tena alipwe kama wazungu" hahaha! Wapi Gentamycine na Njaakali?Sijawahi kupatwa na hasira na uchungu kama hii leo. Kyombo, Mkude, Nyoni na Chama wametuangusha pakubwa leo.
Kuachwa na Yanga SC hii ya sasa yenye mikakati mingi ni kuwapa tu tayari Ubingwa wa NBC Premier League kwa msimu huu tena.
Ewaaaa huu Sasa ndo ukweli usio na makandokando niliokuwa nikiusubiri njaakalihatari najua umeishiwa bando lakini siku ukirudi jifunze kuandika nyuzi Kali kama hizi, unafki ukae kando jadili uhalisia.Sijawahi kupatwa na hasira na uchungu kama hii leo. Kyombo, Mkude, Nyoni na Chama wametuangusha pakubwa leo.
Kuachwa na Yanga SC hii ya sasa yenye mikakati mingi ni kuwapa tu tayari Ubingwa wa NBC Premier League kwa msimu huu tena.
Sijawahi kupatwa na hasira na uchungu kama hii leo. Kyombo, Mkude, Nyoni na Chama wametuangusha pakubwa leo.
Kuachwa na Yanga SC hii ya sasa yenye mikakati mingi ni kuwapa tu tayari Ubingwa wa NBC Premier League kwa msimu huu tena.
Huyu njaakalihatari aliongoza mashambulizi hatari kwa Uongozi wa Simba, ati ni kwanini hawampi mkataba mnono kocha Mgunda. Akuje huku atupe maoni yake.Ewaaaa huu Sasa ndo ukweli usio na makandokando niliokuwa nikiusubiri njaakalihatari najua umeishiwa bando lakini siku ukirudi jifunze kuandika nyuzi Kali kama hizi, unafki ukae kando jadili uhalisia.
Umtafute manula akupe mgao aliopewa na prince dube maana mgao aliopewa na Aziz ki alikunyima🤣🤣Sijawahi kupatwa na hasira na uchungu kama hii leo. Kyombo, Mkude, Nyoni na Chama wametuangusha pakubwa leo.
Kuachwa na Yanga SC hii ya sasa yenye mikakati mingi ni kuwapa tu tayari Ubingwa wa NBC Premier League kwa msimu huu tena.
Ila tukiacha unafiki Simba anaepata number Azam ni chama tuNi wasiwasi tu wa Azam kwakua alikua awaja Ifunga Simba Kwa muda mrefu ila kama wangejiamini wangeweza kuifunga Simba ata goli 3.
Simba walizidiwa maeneo yote ya uwanja mpaka jukwaani Kwa mashabiki.
Aliye msajili James Akaminko nampa Hongera.
Ni ukweli mchungu kwa timu zetu kung'ang'ania wachezaji wasiokuwa na tija kwa timu kisa uzawa/uswahili bila kuangalia mzigo inayobebeshwa timu na hawa wachezaji.Ndugu uzawa unaigharimu Simba,,,yanga hawakuwa wapuuz kuachana na makocha wan kibongo.....
Imefka mwisho wa akna bocco,,mkude,,nyoni na matola but still wapo Simba na hawana mchango wote zaidi ya majungu kwenye timu kisa wao ni ma-legends
Sio wazawa hivyo hawatacheza Simba mpaka pale atakapokuja kocha mgeni kutoka nje ya mipaka ya TanzaniaMapema sana ushanyosha mikono juu??
Hivi Hawa wachezaji wako wapi?
Nelson Okwa , Victor Akpan na muhamed Quattara.
HapanaHuenda timu imepigwa kutokana na ukaribu wa mechi, hivyo fatigue imechangia...
Simba haina rotation nzuri ya wachezaji...
Hapana
Hakuna ligi zinazocheza mfululizo kama Ulaya
Wanacheza Jmos, J4 mechi
Ukiangalia ni utifauti wa siku2 tu
Sasa hawa wamecheza J2 wamekuja Cheza Alhamis, wamepumzika siku 3