Hongera Azam FC, Simba SC bado mbovu na Yanga SC bingwa tena

Hongera Azam FC, Simba SC bado mbovu na Yanga SC bingwa tena

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Sijawahi kupatwa na hasira na uchungu kama hii leo. Kyombo, Mkude, Nyoni na Chama wametuangusha pakubwa leo.

Kuachwa na Yanga SC hii ya sasa yenye mikakati mingi ni kuwapa tu tayari Ubingwa wa NBC Premier League kwa msimu huu tena.
 
Mchezi wa simba anaeweza pata number azam ni chama tu
 
Huenda timu imepigwa kutokana na ukaribu wa mechi, hivyo fatigue imechangia...

Simba haina rotation nzuri ya wachezaji...
 
Azam ina timu nzuri kuliko Simba nq Yanga.
Lakini Yanga wazuri kwenye mipango ndani na nje ua uwanja - kwa hilo Yanga wanaweza kuchukua ubingwa.
Simba hawana Proper Striker na pia hawana viungo bora wanashinda kwa ari tu, uwezo wa wachezaji upo wa wastani sana.
Siku ari ikishuka utafungwa tu.
Kuna tofauti kubwa kati ya hamasa , ari na uwezo.
Yanga wana uwezo ari inaanza kupungua.
Simba ina ari ambayo leo hawakuwa nayo.
Azam wana uwezo na ari pia lakini wakati fulani wanapoteza vyote.
Yanga kwa uongozi walio nayo ligi kuu kwao ndogo, illa kimataifa hawawezi hawana ari.
Simba ina timu ya wastani sana hahitaji kocha usajili ulikuwa mbaya watafungwa tena mechi yeyote kati ya mbili au tatu.
 
Udhaifu wa Simba upa hapa ,wakitanguliwa jua game ishaisha ,wakitangulia wanaridhika na kuanza kucheza na majukwaa mwisho wanasawazishiwa kirahic Sana.

Msimu uliopita tulipoteza ubingwa sabab ya ujinga wa kudharau baadhi ya mechi wakat yanga kila mechi kwake ikawa fainal.
Kupoteza point 3 hili gap kuja kusawazisha ni ngumu Sana ,Zaid naziona draw nyingi kwa upande wa Simba zinakuja ,huku yanga akishinda kwa namna yoyote ile.
Mpaka Leo nashindwa kuelewa bocco,nyoni ,gadiel,mwanuke,kapama ,kibu wanafanya nini hapo Simba.

Yaan hii Simba itapigwa Sana mech za mbelen wasipokaza na kufanya kila game ni fainal.
Leo tulibanwa kila Kona ,yaan mitego yote umeteguliwa kilain na uchohoro ukiwa kwa nyoni
 
Huu ni mpira brother kila team ina haki ya kushinda
 
Sijawahi kupatwa na Hasira na Uchungu kama hii leo. Kyombo, Mkude, Nyoni na Chama wametuangusha pakubwa Leo.

Kuachwa na Yanga SC hii ya sasa yenye Mikakati mingi ni kuwapa tu tayari Ubingwa wa NBC Premier League kwa Msimu huu tena.
Hapana mkuu....mapema Sana kukata tamaa[emoji3]
 
Sijawahi kupatwa na hasira na uchungu kama hii leo. Kyombo, Mkude, Nyoni na Chama wametuangusha pakubwa leo.

Kuachwa na Yanga SC hii ya sasa yenye mikakati mingi ni kuwapa tu tayari Ubingwa wa NBC Premier League kwa msimu huu tena.
Silent watchers tunajua nini kinaendelea hadi mkapoteza gemu hiyo, hata hivyo tutarajie maboresho kutoka kwa yule mnene.
 
Back
Top Bottom