Udhaifu wa Simba upa hapa ,wakitanguliwa jua game ishaisha ,wakitangulia wanaridhika na kuanza kucheza na majukwaa mwisho wanasawazishiwa kirahic Sana.
Msimu uliopita tulipoteza ubingwa sabab ya ujinga wa kudharau baadhi ya mechi wakat yanga kila mechi kwake ikawa fainal.
Kupoteza point 3 hili gap kuja kusawazisha ni ngumu Sana ,Zaid naziona draw nyingi kwa upande wa Simba zinakuja ,huku yanga akishinda kwa namna yoyote ile.
Mpaka Leo nashindwa kuelewa bocco,nyoni ,gadiel,mwanuke,kapama ,kibu wanafanya nini hapo Simba.
Yaan hii Simba itapigwa Sana mech za mbelen wasipokaza na kufanya kila game ni fainal.
Leo tulibanwa kila Kona ,yaan mitego yote umeteguliwa kilain na uchohoro ukiwa kwa nyoni