Hongera Azam FC, Simba SC bado mbovu na Yanga SC bingwa tena

Hongera Azam FC, Simba SC bado mbovu na Yanga SC bingwa tena

Udhaifu wa Simba upa hapa ,wakitanguliwa jua game ishaisha ,wakitangulia wanaridhika na kuanza kucheza na majukwaa mwisho wanasawazishiwa kirahic Sana.

Msimu uliopita tulipoteza ubingwa sabab ya ujinga wa kudharau baadhi ya mechi wakat yanga kila mechi kwake ikawa fainal.
Kupoteza point 3 hili gap kuja kusawazisha ni ngumu Sana ,Zaid naziona draw nyingi kwa upande wa Simba zinakuja ,huku yanga akishinda kwa namna yoyote ile.
Mpaka Leo nashindwa kuelewa bocco,nyoni ,gadiel,mwanuke,kapama ,kibu wanafanya nini hapo Simba.

Yaan hii Simba itapigwa Sana mech za mbelen wasipokaza na kufanya kila game ni fainal.
Leo tulibanwa kila Kona ,yaan mitego yote umeteguliwa kilain na uchohoro ukiwa kwa nyoni
Kwani si tulikubaliana kuwa Yanga ni baskeli ya miti vile. Wao tunawaacha waongoze ligi mzunguko wa kwanza baada ya hapo wanakata upepo. Sisi wenye kombe letu tunakuja mzunguko wa pili.
 
Huyo akaminko ni mtu anautwanga sana
Akita yanga itakuwa poa
 
Back
Top Bottom