Hongera BASATA kwa kuua Vipaji na Wasanii, Je, Chini ya Makonda, Sanaa itainuka tena?

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Salaam Wakuu,

Kwa Ufupi Malengo ya BASATA ya kuua Vipaji na sanaa ya Tanzania yamefanikiwa.

BASATA wamefanikiwa kuua Tasnia ya Burudani.

Nimeenda BASATA wafanyakazi wao wamelala wengine wameenda chai. Hawana kazi tena kwani kazi washaikamilisha.

Namshauri Paul Makonda(Waziri) aangalie namna ya kufufua Sekta ya Burudani.

Aunde chombo cha kupitia Sheria BASATA wanazo zitumia.

Sasa hivi Kenya, Rwanda, Uganda na Kongo wametuzidi mbali kwa sanaa na Wasanii.

Tanzania haisikiki tena..

Hata wasanii wanaosikiliza nni wale waliojitengenezea jina kabla ya Uongozi wa Samia na Magufuli kidogo.

BASATA wamegeuza Wasanii kuwa Machawa, Wauza madawa, Malaya, na wengine kufanya biashara ya ngono na wengine wanaingiliwa kinyume na Maumbile ili Waweze kuishi mjini kistaa.

BASATA jipongezeni kwa kudumaza Uchumi wa Wasanii wetu.. Bongo Movie wamepoteana.

Mnajisikiaje?
 
Hao wasanii hawana faida yoyote kwa Taifa, Tulishawakataa. Bashite hakuna anachoweza kufanya kwa sasa

NB: HAKUNA TAMASHA LA MUZIKI TANZANIA KUNZIA 29 OCTOBER 2025
 
Salaam Wakuu,

Kwa Ufupi Malengo ya BASATA ya kuua Vipaji na sanaa ya Tanzania yamefanikiwa.

BASATA wamefanikiwa kuua Tasnia ya Burudani.

Nimeenda BASATA wafanyakazi wao wamelala wengine wameenda chai. Hawana kazi tena kwani kazi washaikamilisha.

Namshauri Paul Makonda(Waziri) aangalie namna ya kufufua Sekta ya Burudani.

Aunde chombo cha kupitia Sheria BASATA wanazo zitumia.

Sasa hivi Kenya, Rwanda, Uganda na Kongo wametuzidi mbali kwa sanaa na Wasanii.

Tanzania haisikiki tena..

Hata wasanii wanaosikiliza nni wale waliojitengenezea jina kabla ya Uongozi wa Samia na Magufuli kidogo.

BASATA wamegeuza Wasanii kuwa Machawa, Wauza madawa, Malaya, na wengine kufanya biashara ya ngono na wengine wanaingiliwa kinyume na Maumbile ili Waweze kuishi mjini kistaa.

BASATA jipongezeni kwa kudumaza Uchumi wa Wasanii wetu.. Bongo Movie wamepoteana.

Mnajisikiaje?
Screenshot_20251219-132538~2.png
 
Kama ni ya kweli basi ni vizuri kabisa maana wasanii (Bongo movie + Wanamuziki) wa Tanzania sijaona kazi yao zaidi ya kubomoa jamii tu!
 
Usanii wa kuigiza na kuimba Tanzania ni ushetani!

Mwambie yeyote unayemmudu asijaribu kamwe kujiingiza huko wala asitamani!

Kama Professor J na Fid Q wanaimba singeli unadhani kuna kazi tena hapo!?
 
BASATA si wanafanya kazi online siku hizi mkuu maofisini hakuna kazi unajisevia online acha walale

Infact ofisi nyingi za serikali sasa zinatumia mifumo hivyo watu wengi hawana kazi
 
Salaam Wakuu,

Kwa Ufupi Malengo ya BASATA ya kuua Vipaji na sanaa ya Tanzania yamefanikiwa.

BASATA wamefanikiwa kuua Tasnia ya Burudani.

Nimeenda BASATA wafanyakazi wao wamelala wengine wameenda chai. Hawana kazi tena kwani kazi washaikamilisha.

Namshauri Paul Makonda(Waziri) aangalie namna ya kufufua Sekta ya Burudani.

Aunde chombo cha kupitia Sheria BASATA wanazo zitumia.

Sasa hivi Kenya, Rwanda, Uganda na Kongo wametuzidi mbali kwa sanaa na Wasanii.

Tanzania haisikiki tena..

Hata wasanii wanaosikiliza nni wale waliojitengenezea jina kabla ya Uongozi wa Samia na Magufuli kidogo.

BASATA wamegeuza Wasanii kuwa Machawa, Wauza madawa, Malaya, na wengine kufanya biashara ya ngono na wengine wanaingiliwa kinyume na Maumbile ili Waweze kuishi mjini kistaa.

BASATA jipongezeni kwa kudumaza Uchumi wa Wasanii wetu.. Bongo Movie wamepoteana.

Mnajisikiaje?
View attachment 3582399
Katika hili wala BASATA hawabebi lawama..
Wasanii ndio machawa.
 
Back
Top Bottom