Hongera Benki ya CRDB

Wewe mleta mada ni 'Manara' wa crdb.

Kati ya bank za hovyo hii bank ni mojawapo. Customer care kwao ni sifuri kabisa.
Customer care inategemea na tawi! mlimani city wapo vizuri. Nadhani nitafanya survey kwenye matawi mengine pia. Hivyo nitakuwa na nafasi ya kuchangia vema. Kwa sasa itoshe kusema ni benki nzuri.
 
Tatizo la CRDB ni 80% ya watumishi wake ni Nkya, Mushi, Mrosso, Tarimo, Kimaro, Urassa, Urio and the like.

Mojawapo ya legacy mbovu ya Kimei ndio hiyo, huwezi kuajiri 80% ya wafanyakazi kwa hoja za ukabila eti ni kabila lako.
Hahaha . . . Kila mtu anasema hivi. Inawezekana kuna ukweli na hili jambo
 
Nimetoa mada ya kupongeza ,baadhi ya wachangiaji wamenirushia madongo .Tuwe critical thinkers. Tuchambue kwa tafiti na kusoma kama hapa tulitakiwa tupitie financial reports za CRDB dhidi ya Bank hizo nyingine.
 
Mi mwenyewe ninakusudia kuuhamishia mshahara wangu ulipiwe kupitia benki nyingine sio hii,crdb ya sasa sio ile aliyoiacha Kimei.

Huwezi amini barua ya kusitisha makato tu na mkopo umeshawalipa inaweza kuchukua hata wiki,ni warasimu sana.Wamekuwa hawana tofauti na Halmashauri
 
...Mkuu, Unaijua kweli CRDB? Pongezi zako Kwake hasa ni kuhusu Maeneo yepi??? Tuanzie hapo...
 
Tatizo la CRDB ni 80% ya watumishi wake ni Nkya, Mushi, Mrosso, Tarimo, Kimaro, Urassa, Urio and the like.

Mojawapo ya legacy mbovu ya Kimei ndio hiyo, huwezi kuajiri 80% ya wafanyakazi kwa hoja za ukabila eti ni kabila lako.
Md mpya hana mkakati wa kuwapunguza hawa majituu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…