Kimpyempye
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 723
- 1,157
Benki kwa sasa ni Equity tu.Zilizobaki ni Saccos flani hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Customer care inategemea na tawi! mlimani city wapo vizuri. Nadhani nitafanya survey kwenye matawi mengine pia. Hivyo nitakuwa na nafasi ya kuchangia vema. Kwa sasa itoshe kusema ni benki nzuri.Wewe mleta mada ni 'Manara' wa crdb.
Kati ya bank za hovyo hii bank ni mojawapo. Customer care kwao ni sifuri kabisa.
Uliza gawio kwa hisa moja and useme achana na hayo mapichapicha
Mkuu achinjwe ama Achanjwe? 😁 😁 😁 😁 😁mleta mada unapaswa UCHINJWE........kama wamekutuma waambie wako HOVYO mno......
Hahaha . . . Kila mtu anasema hivi. Inawezekana kuna ukweli na hili jamboTatizo la CRDB ni 80% ya watumishi wake ni Nkya, Mushi, Mrosso, Tarimo, Kimaro, Urassa, Urio and the like.
Mojawapo ya legacy mbovu ya Kimei ndio hiyo, huwezi kuajiri 80% ya wafanyakazi kwa hoja za ukabila eti ni kabila lako.
Bora umehamaWameshakua na wateja wengi sana, kwa hio wanaringa, nimewahama mwezi uliopita
[emoji3][emoji3][emoji3]NMB foo laifu [emoji106][emoji106]
Mi mwenyewe ninakusudia kuuhamishia mshahara wangu ulipiwe kupitia benki nyingine sio hii,crdb ya sasa sio ile aliyoiacha Kimei.CRDB ni benki ya hovyo na hivi ninavyoongea nimeagiza hisa zangu ziuzwe ,sitaki tena.Benki ambayo haiwezi kutoa taarifa sahihi kwa wateja wake hiyo ni benki gani? CRDB ukiomba mkopo kuupata ni kudra za mwenyezi mungu.Kuna upumbavu mwingi crdb na akaunti naenda kuifunga.
...Mkuu, Unaijua kweli CRDB? Pongezi zako Kwake hasa ni kuhusu Maeneo yepi??? Tuanzie hapo...Mojawapo ya taasisi nchini inayofanya vizuri kutokana na uongozi ni CRDB tokea ilipoanzishwa imekuwa na mafanikio makubwa na haswa kipindi ikiwa chini ya uongozi wa ndg kimei hadi Sasa ikiwa chini ya ndg Nsekeka.
Hii ni changamoto kwa taasisi nyingine katika sekta za kuhudumia wananchi ziige hii ya CRDB. Sina haja ya kutaja hizo taasisi wengi tunazijua na wenyewe wanajijua.
Hongera CRDB
Md mpya hana mkakati wa kuwapunguza hawa majituu?Tatizo la CRDB ni 80% ya watumishi wake ni Nkya, Mushi, Mrosso, Tarimo, Kimaro, Urassa, Urio and the like.
Mojawapo ya legacy mbovu ya Kimei ndio hiyo, huwezi kuajiri 80% ya wafanyakazi kwa hoja za ukabila eti ni kabila lako.