johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Binafsi nampongeza sana bi Nenelwa Muhambwi kwa kuteuliwa kuwa Katibu wa bunge la JMT.
Katibu wa bunge ndio kiungo muhimu kati ya bunge na serikali tuna imani utakwenda kutenda haki.
Kadhalika utawakuta wale wabunge 19 wa Chadema ambao ubunge wao una utata, Tafadhali kamshauri ipasavyo mh Spika kwa sababu kwa jinsia huwezi kupendelea kuwa na maslahi binafsi.
Eid Mubarak!